Hawa watu ni wezi na sijui kwa nin hata hizo venue zilizotumiwa wamekaa kimya,maana leo i went Tanzanite executive suite hakuna kitu kama hicho kwenye roaster yao tena tukio la week lisiwepo kwenya ratiba how? haingii kichwan nilishtuka nkaamua kufuatilia these pipo wa kushtaki watu wapo...
Mlev m1 alimuona mwanamke mmoja baa akadhani mkewe akamfuata na kuanza kumtomasa tomasa kimahaba; mwan'ke alikasrka sana na kumwambia akome kwan kamfananisha; mlev akajibu,yan hadi saut ya mke wangu akifoka ni hii2,mama wa wa2 akaamua kuondoka huku mlev akimwambia tangulia nyumban ntaku2ta hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.