Walevi bwana

Jizzo

Member
Oct 13, 2011
6
0
Mlev m1 alimuona mwanamke mmoja baa akadhani mkewe akamfuata na kuanza kumtomasa tomasa kimahaba; mwan'ke alikasrka sana na kumwambia akome kwan kamfananisha; mlev akajibu,yan hadi saut ya mke wangu akifoka ni hii2,mama wa wa2 akaamua kuondoka huku mlev akimwambia tangulia nyumban ntaku2ta hadi kutembea mwafanana?sijalewa kias hchoo
 
mkuu sinilikwambia kuwa iwe siri yako? sa mbona siri yangu umeiweka JF tena? hujui nilikuwa ni mimi?
 
Back
Top Bottom