Search results

  1. MARUMARU

    Azsky g6 ni majanga , kamwe usijaribu kununua

    Ndugu, tangu Azsky G6 zimetoka wengi walio nunua wamekuwa wakilalamika na hakuna aliye enjoy huduma yao hata kwa week moja mfulululizo. Japo wauzaji wa huku jamvini wanatushawishi na wameshatushawishi tununue hivi vidude kwa misingi ya kibiashara. Mimi nawaonya wale wote ambao hawajanunua...
  2. MARUMARU

    Niliruka stage

    Sikupitia hapa kipindi najiunga Jf so nmeamua kurudi hapa ili nijitambulishe. Asante
  3. MARUMARU

    Waziri Mwakyembe unayaona haya ya Singida?

    Tarehe 18/12/2012 nilikuwa natoka Dodoma kuelekea Singida kupitia Kondoa , nilifika kwenye jimbo la Singida mashariki eneo linaloitwa Misughaa kwenye bonde la ufa. Kwa mshangao mkubwa niliona gari aina ya coaster ikiwa imebeba abiria zaidi ya 50 na madumu mengi ya petrol pamoja na mizingo...
  4. MARUMARU

    Cwt ni genge lingine la mafisadi.

    Chama cha Waalimu Tanzania kiliundwa kwa malengo mazuri ya kutetea haki za waalimu ila kwa sasa CWT kimejikita zaidi kukusanya michango kutoka kwa waalimu na kuzitumia kulipana posho, mishahara, na kuekeza kwenye miradi iziyo na tija kwa waalimu na kusahau jukumu la kuwatetea. Kwa mfano...
  5. MARUMARU

    Polisi yahujumu mkutano wa madiwani wa CHADEMA

    Katika hali isiyo ya kawaida Polisi mkoa Kilimanjaro imewakatalia CHADEMA kufanya mkutano wao katika eneo walilokusudia kufanya mkutano, taarifa ya kukataliwa kufanya mkutano katika eneo la stendi imekuja saa chache kabla ya mkutano, hii iliwachanganya viongoziwa CHADEMA ili kwa busara waliamua...
  6. MARUMARU

    Mkutano wa madiwani wa CHADEMA - Moshi Mjini kesho

    Kwa wakazi wa Moshi na maeneo ya jirani karibu kwenye mkutano wa hadhara utakao fanyanyika eneo la stendi kuu ya Moshi, madiwani wote wa CHADEMA na meya wa manispaa ya Moshi Mhe. Jafari ataongoza jahazi,
Back
Top Bottom