Search results

  1. I

    Kauli mpya ya magufuli inayoweza kuingia kwenye top ten za viongozi

    nawasalimu wote. Nasubiria wadau kisha nitarejea
  2. I

    Sio siri ninaumia

    Never give up** the better day is coming soon****
  3. I

    Tigo Inaua Kimya Kimya

    ipo hivi katika ile product cycle tigo ipo kwenye decline stage. Hawafai tigo we fikiria nimenunua hizo sms zao ila nikituma zinakuwa failed. Haya kuna wakati nina salio kwenye simu ila nikipiga simu naambiwa sina salio . Hivi sindio kufa kufaana hapa
  4. I

    Hali ya KCMC hospital ni tete

    nchi yetu TANZANIA . THIS IS TOO MUCH
  5. I

    Mchungaji Rwakatare amtaja Shetani kujitetea

    Shetani nae ipo siku atagoma kusingiziwa.
  6. I

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Huyu mama ajue kwamba ukweli haufichiki hata siku moja
  7. I

    Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

    mimi hata cmuelewi katokea wapi? Gash gasgp
  8. I

    Wachaga!sio watu hata kidogo!

    i lofu u
  9. I

    Nimesimamishwa masomo Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

    pole sanat. Utarudi cio mda mrefu. Na hao wanafiki na wazandiki walaaniwe kwa mambo yao haya ambayo enzi za udikteta ndio yalikuwepo. Lakini wajue. TRUETH NEVER DIE
  10. I

    Bange yawatokea puani wasomi UDOM

    embu upembuzi huu ufanyike pale nyuma ya bot
  11. I

    Jamani naombeni msaada mwenzenu tigo imenishinda!

    Tcra kazi yao ni kusajili tu au?
  12. I

    Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika Uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    Hello JF members. Leo ni maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wetu wa TZ. Ila sasa imegeuka kero kwa wale tuloacha kazi zetu na kuja uwanjani. Kwanza watu ni wengi sana na tatizo kubwa ni kufanyia uwanja mdogo a.k.a uwanja wa bibi kiasi kwamba imebidi niruke ukuta . Da so fun sasa...
  13. I

    Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

    Asante mtoa mada. Ila mi leo nimepata case mpya. Nilikuwa na kunywa soda ya mountain dew basi jamaa akaniambia unakunywaje hi soda wakati inapunguza ngùvú za kíùmé.! Je kuna ukweli gani?
  14. I

    Beba BANGO twende kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru

    Lakwangu ni "CHANGES FOR NEW GENERATION" Hivi kitaifa yatafanyikia uwanja wa taifa au wapi wadau.?
  15. I

    elimu ya juu

    Principle wa ifm hawa vijana malecture wana matatizo mengi sana nashangaa hata siku moja hawajawi kua assesiwa yani bora wazee wetu maana hawa vijana they need us to appreciate them while we need education which leads us to be innovater and discovery to our society and not their first class or...
  16. I

    Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    hatujafukuzwa napale ni kielelezo cha kurenew session nyingine new file. Sio unamaliza miaka 6 mpaka 9 hujafika kwenu kaah
  17. I

    Police Arusha

    hawa polisi wamechoka kabisaa na hii kazi ya kutukamata kamata kama mchezo ule wa kitoto wa hide and seek yani KOMBOLELA . Wamechoka kutumikishwa na ccm kwa maslahi ya hichi chama kuliko maslahi ya wananchi waliowaajiri
  18. I

    Ushauri wa dharura:naombeni ushauri wa jinsi ya kumuacha my galfrd kistaarabu.

    kata mawasiliano mkuu. Hakuna kingine zaidi
  19. I

    Kwanini UMNYANYASE mkeo kwa sababu Hajakwenda Shule - WHY???

    minaona wanawake ambao hawajaenda shule au wameishia madarasa ya chini alafu kama anajielewa huwa wako bomba sana ila wenye hata degree moja huwa wanamambo ya ajabu sana yani ndani ya nyumba hata siku 1 hawajishushagi hata kidogo na ndio maana hata wengi wao huwa hawaolewag hasa hawa wasomi...
  20. I

    Alert: Tujihadhari matapeli mlimani city

    pole sana mkuu
Back
Top Bottom