Search results

  1. zakayohabeli

    Pre amp

    Mwenye mchoro wa pre amp single supply an high pass na low pass anisaidie Pia wa tone cotrol single supply mchoro unaotumia jrc4558
  2. zakayohabeli

    Wataalamu wa TV za chogo msaada tafadhali

    Kuna tv hapa aina ya hitach chogo yaani ilikua inagoma kuwaka sasa nimepambananayo sicruit ikawa imewaka an ila sasa kuleta mwanga kwe kioo ilikua sjafanikiwa an nikiiwasha ilikua inatoa Moshi kwwnye crt sasa nikajarib kuichomoa crt nikaisafisha nikawa nakazia kazia japokua hapakua na luzi...
  3. zakayohabeli

    Ipi bora kati ya inverter ya power transistor na inverter ya mosfet?

    Wakuu kati ya inverter ya power transistor na inverter ya mosfet ipi bora na ipi ambayo haili sana moto? Maana nataka niunde mojawapo nikipata ufumbuzi kutoka kwenu wakuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. zakayohabeli

    Msaada kuhusu IC za TDA kwa ajili ya amplifier

    Naombeni mnisaidie wakuu maana nataka kutengeneza amplifier kwa kutumia ic ya tda7393 ila kuna sehemu imeandikwa ST-BY na nyingine MUTE. Sasa hizo sehemu mbili nimekosa cha kuunganisha wakuu msaada tafadhali. Asanteni.
  5. zakayohabeli

    Tunafundisha electronics kwa ujumla

    HABARI NJEMA KWA WOTE WANAOHITAJI KUJIFUNZA ELECTRONICS Najua kuna watu wengi wanapenda kujifunza Electronics designing; wale walio choka ku-copy na ku-paste na hivyo wangependa wao wenyewe wabuni vya kwao. Ikumbukwe kuwa vifaa vya ki-electronic vinavyotumika kutengeneza vyombo ya...
  6. zakayohabeli

    Electronic

    HABARI NJEMA KWA WOTE WANAOHITAJI KUJIFUNZA ELECTRONICS Najua kuna watu wengi wanapenda kujifunza Electronics designing; wale walio choka ku-copy na ku-paste na hivyo wangependa wao wenyewe wabuni vya kwao. Ikumbukwe kuwa vifaa vya ki-electronic vinavyotumika kutengeneza vyombo ya...
  7. zakayohabeli

    V12 power amplifier

    Wakuu tujadili na kusaidiana kuhusu kutumia voltage ndogo katika miziki mikubwa, yaani namaanisha Power amplifier kwa v12. Najua itakuwa ngumu lakini lengo langu ni kuiboost dc v12 kuwa v40 Wakuu tukiweza hili itakuwa vizuri sana. Msaada kwenu tafadhali Asanteni.
  8. zakayohabeli

    Mafundi umeme wa aina zote

    Mnakaribishwa WhatsApp group https://chat.whatsapp.com/DMvECf1KN1sEhU3EqUmmpk
Back
Top Bottom