Search results

  1. S

    Ushauri wako ni muhimu kwa hili

    Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu gan ambacho walau kinaweza kuwa kinanipatia hela hata za matumiz madg madg, au hata experience kwa...
  2. S

    Naombeni ushauri

    Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu gan ambacho walau kinaweza kuwa keep nanipatia hela hata za matumiz madg madg, au hata experience kwa...
  3. S

    Nategemea wazo lako muhimu

    Jaman wakubwa mimi kijana, nasoma Bsc. Agronomy pale SUA , kwa sasa nipo Likizo dar sina cha kufanya nipo tu, naomben ushaur maana nataman nipate chochote cha kuwa angalau kinanipatia hata hela ndogo ndogo ya matumiz, au hata experience.. Wakati huu wa Likizo.
Back
Top Bottom