Search results

  1. Lighton

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    namim nilishangaa sana maana mamelodi ndo walikuwa wanapoozesha mpira[emoji16]
  2. Lighton

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Kama mamelodi angekuja kutafuta matokeo ugenini kwasababu ana wasiwasi wa kupoteza nyumbani, basi mashabiki utopolo wangekuwa na akili sana[emoji16]
  3. Lighton

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    yaani utopolo kukosa kupata goli nyumbani kwasababu ya kutokuwepo kwa wachezaji watatu ndo wanaona wataenda kushinda kule bondeni, yaani akili za kipoyoyo kabisa[emoji3]
  4. Lighton

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    sasa attempt 100 goli 0 ndo umefanya nini? au kwasababu aucho hayupo[emoji3] utopolo bana.
  5. Lighton

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    kibonde al ahly tena![emoji44] kweli utopolo utopolo tu hata azaliwe ulaya.
  6. Lighton

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    ngoja waende sauzi ndo watawaona mamelodi wenyewe sasa.
  7. Lighton

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    yanga pamoja na kuroga kote lakini bado wanashangilia sare wakitegemea kwenda kupata goli la ugenini. possession ya nyumbani yanga 20% mamelodi 80%[emoji23]
  8. Lighton

    Nimekoma kuingiza Malaya ndani ya nyumba,never again

    umefel kaka mechi ya namungo na gwambina uwanja ni ccm kirumba tu.
  9. Lighton

    Enjoy your life

    nashukuru kwa ushauri
  10. Lighton

    Enjoy your life

    Habari za jioni wakuu. nimeona hii title inaweza kuendana na mada yangu ila kikubwa niwashauri ndugu zangu wana jf tumtangulize MUNGU kwa kila jambo kabla ya kuanza shughuli zetu, siku moja tu ina thamani sana kwenye kupambana kwa bidii kutafuta pesa. Naomba nisisitize hapa "TUTAFUTE PESA KWA...
  11. Lighton

  12. Lighton

    Gamond kusema ukweli kutakuponza

    mnajisahau sana utopolo, alieongea ukweli kwa kuwafananisha na nyani sasa hivi yupo kwao uholanzi. na unyani wenu bado mnaendelea kuumiliki. nyani ni nyani tu[emoji3][emoji3].
  13. Lighton

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    2 march hii birthday imekosa kabisa mates[emoji26]
  14. Lighton

    Je, kitu gani ni hatari lakini watu wengi wanakichukulia poa?

    punyeto ni hatar ila watu wanaichukulia poa
  15. Lighton

    Mwanamke akiwa hedhi anakuwa na hasira na mpenzi Wake?

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza ni exactly kilichonitokea na kinachoendelea kunitokea. Mimi siyo mtaalam wa mambo ya wanawake, so katika hili sifahamu, "hivi mwanamke akiwa period anakuwa na tabia kumchukia mpenzi wake?[emoji120][emoji120]
Back
Top Bottom