Search results

  1. ibramy

    CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

    Acha uchawi mzee wangu!!! We ulisikia wapi hii
  2. ibramy

    CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkausishie jamaa
  3. ibramy

    Je ni kweli kuna wanawake wanafurahia kipigo wakati wa kufanya mapenzi?

    We mtoto fala sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  4. ibramy

    Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

    Sasa na wewe unachoma!!! Kwa hamza tu mlitumia risasi zaidi ya 100 na mlikuwa mnamuona!!!!! Sasa vipi kwa huyu mwamba ambae mlikuwa mnaotea na hamumuoni? Hii issue kubalini uchunguzi kutoka nje kama ni mbowe itajulikana kama ni serikali pia itajulikana
  5. ibramy

    Ukiona movie ina hawa casts angalia lazima ni nzuri

    Mwamba namkubali sana
  6. ibramy

    Mbaroni kwa kufanya mapenzi na Mbuzi vichakani. Adai tamaa za Mwili zilimzidia

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyu jamaa miyeyusho kweli
  7. ibramy

    Msaada unahitajika maana naona kichwa kinaelekea kupasuka

    We acha kuzingua jamaa angu.... Mbona una maamuzi mepesi sana juu ya mwanao mzee? Yani mtu amchukue we unaona ni sawa hiyo? Keshagongwa na toyo bado unaona ni sawa yeye kukaa hapo? Tafuta dada wa kazi akae kwako akulelee mtoto wako..... Mtoto wa kwako nani atamlea, familia ya kwako nani...
  8. ibramy

    Squid Game imesukwa haswa

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hayo ndo mambo yako
  9. ibramy

    Nimemiss kuumizwa kwenye mapenzi...

    Kwaiyo wewe now ni soldier???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] duuuh j kiboko adi mjeshi umetepeta.... Pole jamaa angu
  10. ibramy

    Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Ila hii katiba yetu nayo mapungufu ni mengi! I wish ibadilishwe na viongozi kama raisi waweze kushtakiwa maana na wao wana maujinga kibao.... Lakini hii yakuwatuma watumishi wao kutekeleza mambo fulani fulani inakuwa si sawa!!!!
  11. ibramy

    Siwaelewi wanaume wa karne hii

    Yupo anagonga like ni kama alikuwa anatest kuona majibu ya wakulungwa
  12. ibramy

    Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

    Wakati unabadilika mkuu!!! Alikuwa kwa mkapa na kwa JPM alikuwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ibramy

    Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

    Mkuu maybe upo sahihi kwa mtazamo wako!!! Lakini nataka nikwambie kuwa kiongozi mkuu kwenye nchi sio mchezo jamaa angu.... Yani kuna maamuzi unalazimika kuchukua kwa maslai ya taifa!!! Nikuulize ilikuwa ni sahihi lissu kutetea wazungu kwenye wizi wa madini??? Na kama wewe ungekuwa ni raisi...
  14. ibramy

    Mwanamke kukataa kukutumia picha zake Whatsap ni ishara gani?

    Sasa na wewe picha za nini? Unahudumia vyote ivyo alafu unalilia picha serious nigga?
Back
Top Bottom