Search results

  1. Auto-Marvelt

    FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

    [emoji881][emoji881]𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘[emoji881][emoji881] [emoji471] #CAFCL [emoji460]️ Simba SC Vs Jwaneng Galaxy [emoji414] 02.03.2024 [emoji909] Benjamin Mkapa [emoji797] 7:00pm Mungu Ibariki Tanzania!! Mungu ibariki Simbaa #WenyeNchi# Hello [emoji112][emoji112] Tanzania. Timu ya Wenye Nchi, Simba...
  2. Auto-Marvelt

    Ni muda wa Mudathir Yahya

    Leo CAF wametoa orodha ya wachezaji wanne wanaowania tuzo ya goli bora hatua ya makundi CAFCC, Hadi kufikia sasa Mudathiri Yahya wa Young Africans anaongoza kwa kura na kura hizo zinachukua masaa 24 tu. Ni zamu ya Mudathiri Ni zamu ya Yanga kung'aa CAF Muda anawania na . Aymen Mahious wa USM...
  3. Auto-Marvelt

    Yanga, ule unafaa kuwa wimbo wa Motisha mechi zote

    Raisi wa club ya Young Africans Eng. Hersi Ally Said akiwa Congo alijitahidi sana kuwa na wakati mzuri na mashabiki pamoja na wanachama wa klabu pale Lubumbashi. Matukio yalokuwa mengi sana ila kilichonifurahisha/kilichotufurahisha ni ile hamasa kutoka kwa Wakongo. Hapa tarumbeta, Hapo dufu...
  4. Auto-Marvelt

    Clouds wanavyosota kumwangusha Hanstone

    Miongoni mwa upcoming starz wanaofanya poa kwenye gemu la mziki wa bongofleva in msanii 'Hanstone'. Kijana anafanya poa sana kama walivyo kina Marioo, Mbosso Khan, Whozu na wengine kama buku ila huyu kijana wee weka mbali na watoto. Kijana huyo jina lake ni Hassan Ramadhani Masanja mtoto wa...
Back
Top Bottom