Search results

  1. Heater

    Dar yaendelea kuongoza kwa Wateja wa Huduma za Mawasiliano Tanzania, ina Wateja Milioni 12.9

    Na hiyo yote imetokana na '" Tuma kwenye namba hii"'
  2. Heater

    Special thread: Hii ni kwa wakali wa kutunga lyrics (nyimbo) za mahaba hasa kwa mfumo wa RnB

    Nimeishi na watu tofauti Wenye roho Safi na wenye chuki Nawajua marafiki nawajua mamluki Wenye akili ndefu na zile fupi
  3. Heater

    Mkasa wa kweli: najuta kwenda honeymoon - nilichofanyiwa sitakuja kusahau

    Mmetoka harusin saa 6 usk.... Mmeingia hotel ukakutana na mauza uza mkabishana takriban masaa 3.... Inakua saa 9 usk alaf baadae simu inapigwa mida ya saa 8 usk Sam anaenda kuongelea pemben Kisha anakuomba msamaha........ Lkn story n tamu ngoja nisubili uje
  4. Heater

    CHADEMA, sio kila kitu cha kujadiliwa na viongozi, mjue mahali pa viongozi kufunga midomo

    Hao ambao hawajasema lolote wametusaidiaje kwenye mahitaji yetu muhimu
  5. Heater

    Anayeijua Clouds City vyema njoo hapa

    sikuizi biashara kubwa za maredio ni Viwanja na kamari.....
  6. Heater

    Serikali kufuta leseni za Halmashauri, Leseni zote zitatolewa na BRELA

    Kwaio leseni moja ata ukiwa na biashara mikoa yote... itakua poa sana hii
  7. Heater

    Kweli Dkt. Slaa kwenye matamshi yake ametamka "tutafanya hivyo"?

    Nakusudia kulishtaki jeshi la Polisi Tanzania kwa kusababisha taharuki ktk Taifa... kupitia uzushi wa uhaini
  8. Heater

    MOSCOW: Thamani ya Sarafu ya Urusi yaanguka kuliko ilivyotarajiwa dhidi ya Dola ya Marekani

    Sarafu yake itatawala Africa alaf sarafu za africa atazipeleka wapi? Je thamani ya sarafu za kiafrica n za kudumu au zinayumba yumba kama mlevi
  9. Heater

    Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

    Corruption - kiasi gani? Toka kwa nani kwenda kwa nani? Wapi? Muda gani? Kusudi gani?
  10. Heater

    Russia imetoa onyo kwa ECOWAS, isithubutu kuivamia Niger kijeshi

    Ecowas wanavimba sababu ya West... Niger wanavimba sababu ya Russia... full Kugombania mabwana ... Haya wacha tuendelee kucheck movie
  11. Heater

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Bora umeniombea msamaha...... lkn na wewe unisaidie iyo rate n kweli au n habari tu za mitandaoni
  12. Heater

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    siwezi fahamu kila kinachoendelea apa duniani kwa upana wake (Propaganda zimejaa sana) ....... na si mbaya ukinifahamisha......
  13. Heater

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Umedadavua vizuri sana mkuu... wacha tuendelee kuisoma movie... Na apo unamaanisha nikinunu dola 1 kwa 2500tsh nikaenda uza kenya napata 3000tsh (150ksh) apo napiga li 50tsh kama faida.... kwenye mil 25tsh natoka na faida ya 5mil.... naomba tusaidiane kueleweshana apo kama vp watu tuingie mzigoni
  14. Heater

    Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

    Achilia mbali makosa ktk kizungu chake... kwangu mimi ata angetumia vitendo tu bila kuongea lugha yoyote endapo walengwa wakamuelewa Lengo linakua lishatimia
  15. Heater

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kuanguka kwa Ruble kunaashiria nini wanajamvi.... 1usd kwa 99ruble... mwaka jan la ilikua na wastan wa 1usd kwa 75ruble
  16. Heater

    Ninawaita kwa mara ya mwisho kabla mjadala haujafungwa. Ndungai, Prof Kabudi, Balozi Polepole na Dkt. Bashiru Kakuru

    Iyo ndiyo inayotuponza watanzania... kudhan kwamba kutetea maslahi ya taifa n kazi ambayo akina flan wanatakiwa waifanye... Taifa lingepata hata asilimia tano tu ya watu ambao wanaamini katika wao kwenye kutetea maslahi ya taifa basi Tungekua mbali sana
  17. Heater

    Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Ambayo n nzuri kwa kuoshea pikipiki na bajaji bei mbili za chini n sh ngapi
  18. Heater

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya vyuma chakavu

    Nisaidie kwa ilo... ambao wana bei nzuri itakua poa...
Back
Top Bottom