Search results

  1. Mullykim

    Samsung Galaxy A50: Baada ya miezi 7, Je bado inafaa kununua?

    Hii ni Simu ya Samsung Galaxy A50, ambayo ni miongoni mwa simu za bei nafuu kutoka Samsung. Kwenye hiii video naelezea experience yangu ya kutumia hiii simu kwa miezi 7 ili na wewe uelewe kama unaplan ya kutaka kuinunua hii simu na pia kukupa ushauri wa vitu vya kuangalia katika hii simu.
  2. Mullykim

    Kwenda Kenya kwa kutumia Temporary passport

    Habari, nataka kusafiri kwenda Kenya lakini Passport yangu bado sijapata, mtu yoyote anafahamu nnachotakiwa kufanya ili kupata temporary passport na pia nini natakiwa kufahamu nikiwa nasafiri na aina hiyo ya passport?
  3. Mullykim

    Smart Bulb with built in Speaker

    (Swahili) Balbu inayotumia Bluetooth, Yenye Spika iliyo na sauti kubwa na yenye uwezo wa kubadilisha rangi yoyote kwa kutumia Smartphone. Pia inatumia Watt 6, Hivyo inafaa sana kwa matumizi yake madogo ya umeme. Inauwezo wa kukaa hadi kwa zaidi ya miaka 9. Bei Tsh 75,000 Mawasiliano :- 0655...
Back
Top Bottom