Search results

  1. munroe

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa ni fursa kubwa kiuchumi

    Ng'ombe wa maziwa ni miongini mwa miradi bora saana ambayo ikisimamiwa na kuendeshwa kisasa inatija kubwa na inaweza kukunufaisha na kukukwamua kiuchumi. Njoo tukuuzie ng'ombe bora wanastahimili mazingira tofauti kwa mikoa yote Tanzania bila kuteteleka kiafya na kiuzalishaji Njoo ujifunze na...
  2. munroe

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kibiashara

    Ng'ombe wa maziwa ni fursa kubwa katika mikoa mingi Tanzania ni mradi unaojiendesha na una return kubwa endapo utafanya usimamizi na uwekezeji mzuri Endapo unapenda ufugaji na unahitaji kuanza kufuga zingatia yafuatayo Fanya utafiti kuhusu * Soko la maziwa katika eneo ulilopo *Hari ya hewa na...
  3. munroe

    Shamba la ndizi pamoja na kahawa lenye ukubwa wa hekari 4 linauzwa Rungwe Mbeya

    Ni shamba lenye migomba ilioboreshwa vizuri lenye ndizi aina ya mzuzu, bukoba, malindi Nk. Linauzwa milion 27 Tutafute kwa namba 0756416149
  4. munroe

    Karibu ujipatie ng'ombe bora wa maziwa aina ya aryshire, Holstein freisian na jersey pamoja cross breeding zake RUNGWE MBEYA

    Ndugu wadau wafugaji tunauza ng'ombe bora wa maziwa aina mbalimbali wenye uwezo wa kutoa maziwa hadi lita 30 kwa siku. Ipo Mitamba yenye mimba na isio na mimba aina zote Wapo ndama bora Aina zote Wapo madume bora na wanaopanda kwa uhakika Wanaokamuliwa na wenye mimba kubwa Ng'ombe wetu...
  5. munroe

    Ng'ombe bora wa maziwa aina ya Holstein freisian, Jersey na Ayrshire wanapatikana

    Ndugu wadau wafugaji tunatoa huduma ya uuzaji wa ng'ombe wa maziwa wilayani Rungwe mkoani mbeya karibuni kwa ng'ombe aina hizo kwa bei nafuu saana Tunatoa elimu na ushauri kuhusu ufugaji bora, pia ng'ombe wetu wanastahimili mazingira ya hari ya hewa tofauti ya mikoa yote tanzania Mitamba (...
  6. munroe

    INAUZWA Ng'ombe bora wa maziwa wanapatikana

    Habari za majukumu ndugu Wana jamvi, poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Tunauza ng'ombe bora wa maziwa hapa rungwe mkoani mbeya tuna ng'ombe aina mbali mbali wanaotoa maziwa mpaka lita 20 kwa siku na bei zake ni rafiki Tutafute kwa namba 0756416149 Kalibu upate ng'ombe bora kwa ufugaji...
Back
Top Bottom