Search results

  1. AllanJnr

    Wakuu naomba mnisaidie njia rahisi ya kuwasiliana na kuwafikia utumishi kirahisi kutokana na tatizo lifuatalo...

    Nmeandikiwa kuwa sijawa SHORT LISTED kutokana na kutoweka passport size wakati ipo na ninahakiki kila Mara kabla ya kuapply na nmeitwa interview kadhaa lakin hii ni ya umuhimu zaidi kwangu lakini wameniacha kwa kuniandikia sababu isiyo kuwa sahihi...hivyo nnaomba aliewahi kuwasiliana nao kwa...
  2. AllanJnr

    Inaruhusiwa kuomba nafasi zaidi ya moja kwenye kazi za ajira portal?

    Wakuu naombeni wenye uzoefu kidogo na maombi ya ajira portal mnisaidie ufafanuzi kidogo kuhusu hilo swala kama kuna nafasi za kada moja zimetangazwa katika taasisi tofauti tofauti kwa kufatana na mtu kakidhi vigezo je anaruhusiwa kuomba zoote kwa pamoja au ni kuomba mojawapo tu kati ya...
  3. AllanJnr

    Naomba kufahamishwa kuhusu Republic Archive Information And Management

    Inaitwa Republic Archive Information And Management. Mdogo wangu kachaguliwa katika hizi selection za Tamisemi Kozi hiyo chuo kinaitwa TANZANIA PUBLIC SERVICES (TPS) CAMPUS YA MTWARA. Hivyo mwenye uelewa na hii kozi naomba anijuze tafadhali sababu Wazazi hawaielew hata kidogo naombeni mnipe...
  4. AllanJnr

    Kwa waliowahi kwenda Dodoma interview PSRS tupeane ramani mahali pa kufikia...

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni mmoja wa wasailiwa tunaotakiwa kwenda Dodoma maeneo ya chuo kikuu kwa ajili ya usaili...nlikuwa naomba tupeane ramani kwa wale waliowahi kufika kabla kuhusu sehemu za kufikia za karibu kwa ajili ya malazi na huduma nyingine, Ikiwezekana tujuzane...
  5. AllanJnr

    Bachelor of Education in Adult Education and Community Development (BED-ADEC)

    Habarini ndugu..kama jina la kozi linavyoonekana hapo juu kuna mdogo wangu kachaguliwa Udom kusomea hiyo kitu Nlikuwa naomba mwenye uelewa kuhusu hiyo course anieleweshe kidogo... ahsanteni Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  6. AllanJnr

    Aliyepata Muongozo wa kujitolea kutoka wizara ya afya atume tafadhali

    Wakuu kikubwa n kutaka kufaham kama kuna manufaa kwa mtu atakaeomba kujitolea kada ya afya kuanzia hivi sasa ama vipi Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  7. AllanJnr

    Ni baada ya muda gani ajira portal huita watu kwenye interview baada ya deadline ya maombi kufika?

    Samahani wakubwa naomba kufahamishwa kwa wale wazoefu kidogo na Secretariat ya ajira. Je inaweza ikachukua kipindi cha muda gani kufikia kuitwa kwenye usaili baada ya muda wa kutuma maombi kuisha? Msaada Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  8. AllanJnr

    Mbona mfumo wa kuomba ajira online wizara ya afya upo open?

    Je, wameongeza mda wa maomb kwa zile nafasi za zilizotangazwa awali au kuna tangazo jipya la kazi? Msaada kwa anaefahamu Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom