Inaruhusiwa kuomba nafasi zaidi ya moja kwenye kazi za ajira portal?

AllanJnr

Member
Feb 5, 2019
84
60
Wakuu naombeni wenye uzoefu kidogo na maombi ya ajira portal mnisaidie ufafanuzi kidogo kuhusu hilo swala kama kuna nafasi za kada moja zimetangazwa katika taasisi tofauti tofauti kwa kufatana na mtu kakidhi vigezo je anaruhusiwa kuomba zoote kwa pamoja au ni kuomba mojawapo tu kati ya zilizotangazwa? View attachment 2254709 View attachment 2254711 View attachment 2254708
Screenshot_20220608-215828_Chrome.jpg
View attachment 2254712 View attachment 2254710
 
AllanJnr

Member
Feb 5, 2019
84
60

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
42,863
110,333
kumbe huwezi kutumia barua moja hiyo hiyo kila post?
Kama post inafanana halafu waajiri ni tofauti, kwenye sehemu ya kutaja mwajiri kwenye barua ndio ina matter ingawa barua inaweza kuwa ile ile.

Mfano unaomba nafasi ya Mtendaji wa Kijiji kwenye Halmashauri tofauti tofauti, maudhui ya barua yanakuwa yale yale ila kutaja halmashauri na mengine yanatakiwa yawe tofauti
 
muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
1,904
4,176

sawa mkuu,

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,341
5,376
Kama post inafanana halafu waajiri ni tofauti, kwenye sehemu ya kutaja mwajiri kwenye barua ndio ina matter ingawa barua inaweza kuwa ile ile.

Mfano unaomba nafasi ya Mtendaji wa Kijiji kwenye Halmashauri tofauti tofauti, maudhui ya barua yanakuwa yale yale ila kutaja halmashauri na mengine yanatakiwa yawe tofauti
Yaaap.. MChawi ni title tu
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom