Bachelor of Education in Adult Education and Community Development (BED-ADEC)

Bachelor of Education in Adult Education and Community Development (BED-ADEC)

AllanJnr

Member
Joined
Feb 5, 2019
Posts
96
Reaction score
98
Habarini ndugu..kama jina la kozi linavyoonekana hapo juu kuna mdogo wangu kachaguliwa Udom kusomea hiyo kitu
Nlikuwa naomba mwenye uelewa kuhusu hiyo course anieleweshe kidogo... ahsanteni

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ni mwl kama mwl mwingine
Isipokuwa atakuwa deep zaidi kwenye ADULT LEARNING na COMMUNITY DEVELOPMENT planning & management
 
Mfano kuna
Bed-ppm
Bed-adm
Bed- psy
Bed-GuCo
Wote ni ni Educationl Facilitator

Adult Education hapa tz inatolewa
1... The Institute of Adult Education
2... The Open Univetsity of Tanzania
3... The Univetsity of Dsm
 
Ok...adult learning kwa maana ya kwenda kufundisha kwny vyuo vya kati labda sio?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
KWANI WATU WAZIMA WAKO VYUO VYA KATI TU???

KUNA WATU WANA
...BED - Early Childhood Education
Wanafundisha Vyuo vya kati na Elimu ya juu.

Target ni Kufundisha tu.... suala la wapi ni opportunity tu best...
 
Kuna best angu alimalizaa chuo Baed (George + Biology) amepangwa primary School two years ago
 
Kozi hiyo nimechaguliwa
Mfano kuna
Bed-ppm
Bed-adm
Bed- psy
Bed-GuCo
Wote ni ni Educationl Facilitator

Adult Education hapa tz inatolewa
1... The Institute of Adult Education
2... The Open Univetsity of Tanzania
3... The Univetsity of Dsm
IAE dar es salaam
 
Ni rahisi kupata kazi kwenye mashirika ya kimataifa kwa kazi za kuhamasisha jamii.
 
Kama kachaguliwa kitu kingine akasome icho aachane na hiyo course
 
Kama kachaguliwa kitu kingine akasome icho aachane na hiyo course
Unatakiwe umpe na sababu kwanin aachane na hiyo course, Mimi mwenyewe nimemaliza udom Bachelor of education in psychology (bed psy) pia hyo bed adec inatolewa pale udom n course nzuri kwasababu unaweza omba ht kwenye mashirika yn udom program za education wameziboresha kwakuwa zinalink na vitu viwili
 
Back
Top Bottom