Naomba kufahamishwa kuhusu Republic Archive Information And Management

AllanJnr

Member
Feb 5, 2019
92
95
Inaitwa Republic Archive Information And Management.

Mdogo wangu kachaguliwa katika hizi selection za Tamisemi Kozi hiyo chuo kinaitwa TANZANIA PUBLIC SERVICES (TPS) CAMPUS YA MTWARA.

Hivyo mwenye uelewa na hii kozi naomba anijuze tafadhali sababu Wazazi hawaielew hata kidogo naombeni mnipe mwanga kwa wanaofahamu
 
Siku hizi kuna kozi nyiingii za ajabu ajabu, mpaka unashindwa kuelewa kijana wako ataelekea wapi baada ya ku graduate.
Hizi ndio zinasababisha ongezeko la wanaolalamika kuhusu ukosefu wa ajira kwenye jamii zetu.

Haya nami nasubiri wajuzi wa mambo waje.
 
Back
Top Bottom