Nchi ni ya wote wanachi na serikali lazima itokane na wananchi wanavyotaka.
Serikali sio KUBWA kuzidi WANANCHI.
maana serikali ni kakundi kadogo kanakopewa DHAMANA kuongoza na kutumikia na kuhudumia WENYENCHI.
SERIKALI inapaswa kutekeleza matakwa ya WANANCHI sio kuwaamulia WANANCHI.
Pia...
Inatakiwa katiba mpya ila ikitokea mtu anaivunja hilo ni jambo lingine na kuvunja hakuhalalishi kwamba katiba isiwepo iliyobora. Mfano Biblia inasema usiibe lakini wezi wapo sasa kuwepo wezi hakuhalalishi kwamba Biblia isiwepo!
Kama Mtanganyika hawezi gombea urais Zanzibar kadhalika Mzanzibari hawezi gombea uraisi wa Tanganyika(Jamhuri ya Muungano). Ukweli mchungu apishe TU. Aking'ang'ana damu nyingi zitamwagika ili yeye ashinde na udhalimu mwingi kutendeka kisa kulazimisha mambo. Halafu watu tunapenda mabadiliko na...
Hivi shida nini inayokwamisha CHADEMA kwa uwingi wa wanachama isione umuhimu WA kuwa na TV STATION NA RADIO. SASA HIVI HATUPATI TAARIFA HALISI. CHADEMA ANZISHENI TV NA RADIO STATION
Kwa kuwa mama ni mzanzibar. Na rais wa jamhuri ya Tanzania ni hasa Tanganyika kweli mama akubari na ashauriwe asigombee uraisi wa Jamhuri ya muungano. Akae pembeni asigombee.
Utashi na utari ukiwepo katiba mpya ni mwezi tu inakamilishwa kwa kuwa kazi ilishafanyika na hela nyingi kutumika wakati wa RASIMU YA WARIOBA. KAMA RAIS NA WATANZANIA TUNAIPENDA TANZANIA NA KAMA SI KWA MANENO TU AU KEJELI BASI KATIBA IKAMILISHWE. HUU NI WAKATI WA UKWELI NA UWAZI NA HAKI. SIO...
Katiba katiba katiba ndio itakuwa suluhu. Kwanini hamtaki katiba iboreshwe?
Huo ndo ushahidi unaojirudia na kwa miaka sasa na mkapa alikiri.
Jamani kubarini kusuka upya katiba itakayoruhusu kila mmoja kudhibitiwa na kushitakiwa na kila mmoja kuwa mlinzi wa rasilimali.
Lakini itakayo walipa...
HIVI MAJESHI YETU YANALINDA NINI? MAANA NGUVU YAO NI JESHI KUWALINDA. SASA MUDA HUU NASHAURI ILI TAIFA KUSALIMIKA MAJESHI YAACHE WATANZANIA WACHAGUE VIONGOZI WAO WAWAPENDAO SIO KUIBEBA CCM KIMABAVU TUNAELEKEA HATARI. MAJESHI HAMUONI? MAJESHI SIMAMIENI MAMBO YA HAKI. LAWAMA KUBWA NI MAJESHI YA...
Kwenda mezani kuzungumza ktk masuala ya KITAIFA ni vizuri. Na inapasa kuwa desturi na kuwa endelevu. Ushauri wangu lazima kuwepo na makubaliano/hitimisho rasmi yaliyoandikwa na kupelekwa kwa wahusika kwa utekelezaji.
Kuzungumza bila kutoka na hitimisho rasmi ni sawa na kutokuwepo mazungumzo na...
Hawajui kuwa serikali ni utumishi WA Mungu. Mungu ni utu, haki, kweli, n.k. JE KUNA SERIKALI INAYOINGIA MADARAKANI KWA AJILI YA KUFANYA UOVU? NA IKAWAAHIDI WANANCHI KUWA WATAFANYA UOVU ILI WACHAGULIWE? NA WANANCHI WAKAKUBALI KUWACHAGUA KWA UOVU ULIOAHIDIWA? KAMA SIVYO BASI KUTENGANISHA...
Kwani ziko wapi?
Je ni za siri?
Nashauri zitafutwe ziwe wazi kwa taifa na zijadiliwe kama ninatija kwa taifa au la.
Nashauri kabla mkataba wa kimataifa kukubaliwa lazima sheria za kimataifa na mwekezaji ziwe wazi ili kuona kama zina tija kuliko kusema tu.
Tunaingiaje mikataba bila...
NAUNGA MKONO HOJA. NDIYOOOO. TUMEPANDIKIZWA IMANI POTOFU JUU YA SIASA KAMA SIASA NI KITU MBAYA HATARI KINACHOAMBATANA NA MANENO MABAYA KAMA UONGO, UCHAWI, USHIRIKINA, UUAJI, N.K. LKN SASA MBONA WENGI WANAKIMBILIA HUKO! AU WALIOHUKO WANAJILINDI WASIINGILIWE HUKO KUZURI! NCHI ZILIZOENDELEA KAMA...
KAMA NI HIVYO BORA KUINGIA GHARAMA ZA KUMCHAGUA RAISI TENA PUNDE MUNGU AMPENDAPO ZAIDI MLIYEMCHAGUA KULIKO MTU KURITHI URAIS MAANA MRITHI HUWA HANA UCHUNGU KULINDA MALI NA WATU ALIZORITHI/ ALIOWARITHI NA HUWA HAJALI.
KILA TAASISI KAMA NI URAIS, MAHAKAMA, SERIKALI , POLISI N.K KAMA KUNA UDHAIFU WANAUONESHA HUU WOTE NI KUTOKANA NA KATIBA. KWA KATIBA YA SASA VIONGOZI WOTE NA TAASISI ZOTE LAZIMA KUPOKEA NA KUTII MAAGIZO TOKA KWA RAIS YAWE YA HAKI AU YAWE YASIYOHAKI. DAWA NI KATIBA MPYA TENA ITAKAYOWAPA WANANCHI...
YAANI BASI. KWA NINI KATIBA INA KIFUNGU KAMA HICHO? KATIBA IJAYO ISIWE HIVYO KIKAONDOKE NDO UFALME WENYEWE WA RAIS KWA KATIBA HII. BUNGE NA MAHAKAMA KAMA WATOTO TU WA SERIKALI!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.