Search results

  1. S

    Niulize jambo lolote kuhusu mziki wa Mchiriku/Mnanda

    Oscar Mkoba, hii ngoma Jagwa walimuimbia mshkaji wao baada ya kupigwa mapanga na kufariki dunia. Ila kwa wadau mnaojua kwa kina naomba mnifahamishe chanzo cha mshkaji kupigwa mapanga hadi kupelekea kufariki dunia. Huzuni na majonzi, Yalotufika sisiiii Kwa kuondokewa na mshkaji wetu, Oscar mkoba...
  2. S

    Sitazami movie za kibongo ila natamani kuona hii movie mpya trailer yake imenivutia sijui kisa imechezea nje

    Mbona kama wameigeza SAW? Sijaona jipya sana zaidi ya mbwembwe nyingi, bongo filamu safari yao bado sana.
  3. S

    Tatizo lolote la PC/device

    Salaam wakuu, mie shida yangu ni kuactivate microsoft office 2010 katika pc yangu. Sina product keys. Msaada tafadhali.
  4. S

    Harmonize kamrudisha Rich Mavoko kwenye game upya

    Hivi ni kwanini kila Harmonize akiandika anapenda kuonyesha kulalamika ndani ya maandishi yake? Kwanini anajionyesha kama mtu wa malalamiko sana?
  5. S

    Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    Namkumbuka huyu jamaa tangu enzi tukiwa Mugabe Primary school, tulivyofika darasa la tano alichaguliwa kuwa kaka mkuu na sisi tulikuwa viranja wa zamu. Nilipenda sana kuimbisha wimbo wa taifa hata kama haikuwa zamu yangu. Awali ya yote, baada ya kutoka ITV alihamia clouds kisha BBC ndipo akaja...
  6. S

    Mtangazaji Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM

    Ilikuwaje Charles Hilary kuondoka BBC idhaa ya Kiswahili na akakubali kujiunga na Azam Media? Hata Baruan Muhuza? Mwisho wa yote ni maslahi ndio yanamuamisha mtu kutoka eneo moja kwenda jingine na sio zaidi ya hapo.
  7. S

    Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

    Jamani Harmonize analalamika huku, anasema mbona mnamuandama sana yeye au Mavoko hamumuoni?
  8. S

    Must see Movies

    Kuna movie huwa sichoki kuiangalia, inaitwa "Love in the time of Cholera" Hii ni bonge moja la movie kwa wapenda love story.
  9. S

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ukija uswahilini na ukataja Site (City), watu wanajua gali la kuzolea takataka. Enewei, wazima wazee wa VAR?
  10. S

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Klopp anacheza mpira wa aina yoyote unayoitaka, refer game ya kwanza pale Camp Nou jinsi mlivyoutafuta kwa torch mpira. Na mlivyoenda Anfield akawachezea mpira tofauti na wa mwanzo. Mlimiliki yeye akashinda. Klopp ni master.
  11. S

    Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

    Ft Mwalimu Nyembo, kama una kumbukumbu maridhawa.
Back
Top Bottom