Search results

  1. Wide_awake

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mujini ndo nini, sema mjini
  2. Wide_awake

    Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

    Okay mkuu nitumie namba yake nitakusaidia kuyafanyia kazi haya yote uliouliza na majibu yake
  3. Wide_awake

    Hivi R, L na H, ni Ugonjwa wa Taifa?

    Opuk Jater, Mkuu nimefungua post yako nione mfano wa matumizi ya 'H' sijaona, hebu weka tuwasaidie hapa chap.
  4. Wide_awake

    Unakumbuka nini enzi zako za Chuo kikuu?

    hahahaa yeah ila ilihitaji ujasiri zilikuwa seat za mbele, nyuma huku haikuwa noma sana.
  5. Wide_awake

    Unakumbuka nini enzi zako za Chuo kikuu?

    Ilikuwa majira ya saa 5 hivi kijua cha asubuhi kinaanza kukolea nimetoka zangu class naelekea room kwangu mwaka wa pili (kawaida ya vyuo vyetu vingi kuna wa in-campus na off, sasa mimi nilikaa nje toka nimeanza chuo). Basi njiani napita karibu na Library ya chuo uchochoroni nikapishana na...
  6. Wide_awake

    Mapenzi ya mahandsome

    nimetabasamu the whole post, kweli kauzee kanaingia dah!
  7. Wide_awake

    Hii ndio smartphone ambayo inaongoza kwa kukaa na chaji duniani

    kuiacha Samsung roho inasita sana ni mnazi full, kuna aina na aina ukichagua simu angalia na specifications za battery pia
Back
Top Bottom