Search results

  1. Brother Jof

    Nauza pikipiki yangu Hunter DEC na eneo la carwash

    Habari wakuu. Tafadhari rejea kichwa cha mada. Ninauza pikipiki yangu niliyokua natumia kwenda kazini yenye usajiri namba DEC bei Tsh 1,250,000 iko katika hali nzuri sana haijaguswa engine kabisa Pia nina eneo langu la carwash lililo eneo potential ilibaki miezi mitatu ya kodi 2500per day, Kuna...
  2. Brother Jof

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Hello wanajukwaa, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tupeane connection za maeneo ambayo kuna viwanja au mashamba makubwa kwa bei nafuu kwaajili ya uwekezaji au ujenzi. Mimi binafsi niko Dar, natamani sana kupata eneo au shamba lenye rutuba nzuri angalau ekari 10 pembezoni...
  3. Brother Jof

    Phone4Sale Nauza smartphone spark 3 pro gb32

    Simu iko Dar, haijawah kufunguliwa na fundi, sijaitumia sana Bei 145k. Kama una pungufu njoo tuongee.
  4. Brother Jof

    INAUZWA Nauza Pikipiki boxer 125

    Habari wadau. Ninauza pikipiki yangu mwenyewe, natumia kwa route za kwenda kazini tu. Aina; Boxer 125. Usajiri; CMP lakn kama mpya ubora wake. Location; Kipawa Dar. Hali yake; Nzuri sana,engine haijawah kabisa kuguswa ina nguvu kama mpya. Document: zote zipo. Bei ya kuanzia 1,550,000...
  5. Brother Jof

    Natafuta kazi ya Mauzo na Masoko (Sales and Marketing)

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa atakaenisaidia kupata kazi upande wa mauzo na masoko(Sales and Marketing) kampuni yoyote Dar es Salaam. Mimi ni muajiliwa wa kampuni fulani ila kituo changu cha kazi ni mkoani ,Inanichukua siku mbili kufika Dar ambako kuna familia yangu. Msaada ninaoomba sio...
  6. Brother Jof

    Nina ofa ya 500,000 kwa atakayenisaidia kupata kazi Dar

    Heshima kwenu nyote mabibi na mabwana! Kama kichwa cha habar kinavyojieleza .Mimi ni mfanyakazi katika kampuni moja Kubwa hapa tz ,Nina miaka minne sasa ktk Kazi kitengo cha mauzo na masoko ,Elimu yangu ni degree . Lengo la kuomba kusaidiwa kupata Kazi ni kwamba mazingira ya Kazi ninayofanya ni...
  7. Brother Jof

    Nauza Ist iliyosajiliwa Uber

    Naiuza Toyota Ist yangu mwenyewe bado Mpya kabisa .imesajiliwa uber na taxfy ,haina shida yoyote .ina cc 1290, ya mwaka 2004 . Bei mil 9.4 ukiichukua tuu unaanza kuitumia mda huo huo imeshalipiwa kila kitu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom