Avute subira,wizara ya Elimu kwa vyovyote vile hii february wataajili tu lakini kama hana mpango na serikali basi ajitahidi kutuma applications kwenye private nyingi kabla hii february haijaisha na naamini kwa hilo somo la Bilogy atapata kazi mapema
Ni vema waka shortlist watu wachache kuliko kuwa na idadi kubwa ya watu alafu matumaini yanakosekana kabisa.Jambo hili ni mhim likaangaliwa kwa umakini mkubwa kwa sababu kinachofanyika ni kuwapotezea watu mda mwingi na gharama kubwa.
Ni utamaduni wa kitanzania tu kuto jali kwa sababu mishahara huwa na budget yake kwa mwaka mzima sasa haiingii akilini kabisa kuwa mwajiri hana pesa ya mishahara.Fuateni taratibu za kisheria kwa mjibu wa mikataba yenu ya ajira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.