Search results

  1. K

    Msaada wa kujuzwa shule nzuri

    tafadhali sana wanandugu wa jf naomben msaada wenu wa kujuzwa shule ya secondary ambayo iko vizuri kimasoma na pia ada yake poa bila kujali mkoa ilipo
  2. K

    Mfanyakazi wa Barrick apotelea mgodini

    mkuu utafiti wako haujakamilika na mie nafanya kazi mgodini jina kaputi hakuna expert ambaye analipwa million 5 ni kuanzia dola elfu 8 hadi dola elf hamsini hizo dola elf nane ni kima cha chini cha expert.
  3. K

    WACHAKA wa kioso mwifooo!

    dakau ingai mnama na kuweso kafo wii
  4. K

    Kinana asikitishwa kuona wakulima wa tumbaku wanavyodhurumiwa

    huyu ni mnafiki tu hana jipya unataka kusema yeye haijui sikonge kwani ana muda mrefu kwenye system,na ukichangia na hii biashara ya pembe za ndovu anaifanye yeye tunazidi kuwa maskini ambao unafanywa na yeye na wenzake.bwana kimsingi hawa ccm wamechokwa.
  5. K

    Kwa wanaume watu wazima tu!!!

    huyo anatudanganya, punyeto nyo jee?
  6. K

    Kinana: Kawambwa na Mulugo mjiuzuru haraka sana,,mmeshindwa kazi

    Huyu kinachomsumbua ni kiburi cha hela alizovuna kwa kuwaua tembo wetu ndo maana analewa madaraka, kinana ona huruma kwa hawa tembo wetu utawamaliza.
  7. K

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    anachoongea huyo mdada siyo sahihi kabisa,na hakustahili kuongea na media,kama siye tunaokaa huku madongo kuinama ndio kabisa ndani ya saa 24hrs tunaupata umeme kwa masaa 12hrs tuu.
  8. K

    Wanawake wanaojiuza Buguruni sokoni vichochoroni kwenye mageto yao watimuliwa na polisi

    mamaaaaaa'"''' sasa uroda tutapata vipi tena maskini wa mungu,serikali ya mtaa angalieni hilo jamani kama ni hivyo basi na wale wa ohio nao waondoke msifanye ubaguzi jamani,chondechonde wahusika angalieni hili kwa upande wa pili
  9. K

    NYARAKA: Madudu mengine ya William Mhando ndani ya TANESCO

    hapa kuna utata wale walioibua haya na madudu alafu wakakaa kimya ndio wa kwanza kuwajibishwa kama wanajulikama, please "mazingira magumu kama na majibu yake ni lazima yawe magumu pia bila tunaumizana sisi wenyewe,
  10. K

    Rais Kikwete azindua rasmi chuo kikuu cha Nelson Mandela - Arusha

    cha uhakika kwenye kufundisha au majengo?niweke sawa mie sijaelewa
  11. K

    Usafiri wa Train raha tupu!

    kwa upande wngu mie nampa big up mwakiyembe,pomoja na matatizo aliyapata bado ni mzima sana na ni mbunifu mzuri. ANGALIZO; lengo lako ni kupnguza msongamano wa magari dsm,ila nashauri pindi ile project ya magari yanayoenda kasi ukiisha ni vizuri aone tena umuhimu wa kuamisha ubungo bus...
  12. K

    Swali la wiki: Lowassa aachie uenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya bunge?

    hivi huyu lowasa mbona mnamjadili sana kwani yeye kama nani nchi hii?kwanza yeye na samweli sita wote ni wanafiki tuu wala wana jf msipoteze muda wenu kuwajadili hawa,juzi nikasikia alikuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la akina mama wa moravian nzg alafu akapata hudhuru eti akamwambia dc...
  13. K

    Tanzania wanataka kununua umeme Ethiopia

    kabla ya kufikiria kununua umeme ethiopia tupeni kwanza mikakati mliyonayo kuhusu gas yetu hapa nchini sio mnaturudisha kule kwa yule shetani richmond bado hajasahau hilo mjue.
  14. K

    Picha: Aibu Uchaguzi wa UWT

    mipasho mpaka kwenye utendaji?sijui tunaelekea wapi lakini ndo hivyo ilivyo kwa wanawake wanapokuwa wamekusanyika sehemu huwa iko hivyo.
  15. K

    Spika Anna Makinda kila kukicha safari

    una uhakika ndugu?kama ni kweli hebu niunganishe naye kama una contacts zake,
  16. K

    Tuitazame upya nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA

    zito kwanza kwa wakati huu bado hajaiva kwenye kugombea urais,kingine yule bwana ni mamluki,kwahali ilivyo siye tuna uhakika na dr slaa ndiye pekee ambaye anaweza kuichachafya ccm kwenye kinyanganyiro cha urais 2015 na anakubalika.nawasilisha:spy:
  17. K

    Tatizo la huduma ya m-pesa hili hapa.

    Hii ni aibu kwa watoa huduma ya m-pesa,mfano umetumiwa hela na ndugu yako pengine hela ya ujenzi n.k,ukienda kwa wakala kuchukua anakuuliza unataka kiasi gani? anakuambia sina,unaenda tena pengine na yeye hivyo hivyo, kwa hiyo biashara inaendelea hivyo mpaka pengine unaamua kuchukua nusu mpaka...
  18. K

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Na wewe magamba yamekumaliza akili ninavyokufahamu sikutarajia kama ungechangia hoja ya kifala kama vile,kwa akili yako wewe unafikiri ccm pamoja na serikali yake watakosolewa na nani?badilika ndugu yangu acha mambo ya zamani.
  19. K

    Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

    jamani kwanza lazima tuelewe wamachame siyo kabila,kwa hiyo futa usemi wako mkuu'
  20. K

    Magufuli augua ghafla, alazwa

    mnakosea jina jamani, semeni jembe la kazi linaumwa linauma,saluti kwanu wakuu,
Back
Top Bottom