Search results

  1. UMAGA

    Msajili wa vyama vya siasa nchini apinga CUF kufukuza wabunge wawili

    Donald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be recolonized Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they claim they are independent. Trump was responding to a question by a South African journalist on whether...
  2. UMAGA

    Nimeshindwa kuvumilia "Nimeacha kazi kiroho safi".

    Kinachonisikitisha zaidi, ni kuwa hawa wageni, sijui wanapataje work permit hapa Tanzania na kiburi cha kuwanyanyasa wazawa sijui kinatoka wapi? Unakuta mtu hajui kazi lakin kwavile tuu yeye ni mzungu basi hata maamuzi ya kipumbavu anasikilizwa. Ningeiomba serekali ipitie upya hasa kampuni...
  3. UMAGA

    Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Siri ni ako , shida zako zipeleke kwa mungu wala usimueleze binadam.
  4. UMAGA

    TUCTA yamvaa Makonda kwa udhalilishaji wa Wafanyakazi

    hizo ni side effect za hapa kazi tu lakini watu wateelewa polepole, ni mambo ya kuvumiliana tu.
  5. UMAGA

    TUCTA yamvaa Makonda kwa udhalilishaji wa Wafanyakazi

    Hapa kazi ni lazima , mapungufu madogo madogo ni ya kurekebishana na kusameheana, lakini inchi hii ilikuwa inataka mbabe ili watu wanyooke. Sasa hizo ni side effects za hapa kazi tu
  6. UMAGA

    CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

    ccm juuuuuuuu
  7. UMAGA

    UCHAGUZI ARUSHA:CCM tutashindwa kwa aibu kubwa.

    Ni huko arusha kwa wamasai na wameru wapenda vita huku kwetu CCM daima
  8. UMAGA

    UCHAGUZI ARUSHA:CCM tutashindwa kwa aibu kubwa.

    Ni huko arusha kwa wamasai na wameru wapenda vita huku kwetu CCM daima
  9. UMAGA

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    kuchoma nyumba kunahusika vipi na gesi. acheni kuharibu mtwara jamani , mfano mbaya ni Syria wanateketeza mali zao wenyewe.
  10. UMAGA

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    pumba zote hizo usitete mambo usio yafanyia research.mnaongea kama vile mnatapika,pumbavu yes kumetokea milipuko, badala ya kudiscuss milipuko mnadiscuss udini. Huyo LEMA ndio anavyowadanganya, na atawalemaza wana arusha.
  11. UMAGA

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Watanzania msipoweka udini pembeni nadhani mtafika pabaya kwa hali hiyo yakumpenda mtu kwasababu ya dini fulani.mtu unaulizwa ZITTO VS SLAA nani bora , badala kutaja kuchangia mada ya ubora unachangia mada ya udini, huu ni upuzi mtupu :flypig:
  12. UMAGA

    Sabodo kumchangia mgombea wa CHADEMA milioni 500

    WEWE SABODO! na hivyo vipesa vyakoo, tutakufilisi. kuwa makini na unachokifanya.
  13. UMAGA

    Mahakama Kuu ya Tanzania yaamuru DOWANS kulipwa!

    kwa kweli haayo ndiyo matokeo niliyo tegemea, wewe unafikiri kiongozi gani anauchungu na nchi hiii?
  14. UMAGA

    Kuna haja ya vyama kutumia helkopta Igunga?

    Raia wa igunga wanataka kiongozi muadilifu na mchapakazi, sio miroketi wala maandamano...
  15. UMAGA

    How to use JamiiForums effectively

    Hivi lile fisad la lushoto, lililotuletea matatizo yote ya kuingia mikataba hewa, had sasa tunapata shida. Jaman mmemlisahau hili fisadii?????????
Back
Top Bottom