Search results

  1. Yes iam

    Kiuno kinanitesa, napata maumivu makali

    Habari zenu watabibu, Nina miaka 27 sasa, mimi ni dereva wa gari. Nahisi ndiyo tatizo langu lilipoanzia, seat ya hili gari inagonga sana ukijumlisha na njia ninayoendeshea. Twende kwenye maada sasa. Yapata mwezi sasa kiuno kinauma sana nikiwa nimekaa kwa mda mrefu nikiinuka tu kiuno kinakaza...
  2. Yes iam

    Hiki kidude kinaitwaje na kinachezwa vipi?

    Niaje mazee kutokana na upweke nilionao tangu niachwe na mtoto mzuri Shani. Pita pita zangu nikakuta hiki kidude kibarazani kwa Mzee Limo hapa Kawe nikapita nacho sasa nashindwa jinsi ya kupanga hivyo virangi. Anaejua jinsi ya kucheza anipe mautundu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Yes iam

    Liverpool Vs Manchester City; Njooni tujadili hii game

    N aje guys Jumapili hii kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka pale England hawa vidume wawili kwa mtazamo wangu ndo anapatikana bingwa wa Epl Huku Liverpool wakiwa kwenye ubora wa hali ya juu msimu huu na hawajapoteza game hata moja wanatarajia kuwakaribisha Manchester city ambao hawajawa na...
  4. Yes iam

    Kazi ya udereva (Pls usipite bila kusoma unaweza nisaidia)

    Habari zenu ndugu? Poleni na majukumu, nahitaji nafasi ya kazi ya udereva iwe kwnye kampuni, serikalin,au mtu binafsi, Elimu yangu ni kidato cha Nne nimehitimu 2010 Kibaha" 2011 nikapata kazi kwny kampun ya utafiti wa Oil&Gas Seismic Survey, nilipopata hela nikaamua kwnda kujifunza udereva...
  5. Yes iam

    Tatizo: Unfortunately WhatsApp has stopped

    Habar zenu wakuu,, namiliki simu aina ya Samsung ni week sasa tangu niipate tatzo linalonisumbua kipa mda inaniletea up ujumbe Unfortunately WhatsApp has stopped, Nmejaribu Ku ireset na kudownload WhatsApp upya tatzo ndo limeongezeka kila sehemu nnayo ingia inaniambia hyo sehmu has stopped ...
Back
Top Bottom