Search results

  1. Gien Banks

    Washikilie wanaokujali

    Nikianza Kuandika Experience Juu Ya Watu Ambao I Gave Them My All And Treated Them Like My Blood Family Lakini Mwishowe Ni Upumba.vu, Fitna, Majungu, Uhasidi, Lawama, Backstabbing Yani Inaumiza sana Nitajaza Hapa Essay Ndefu Na Nitawachosha. In a nutshell my people nawasihi sana wapende na...
  2. Gien Banks

    Mwanaume kabla ya kuoa fanya hivi itakusaidia sana.

    Balaa Zito [emoji38][emoji38][emoji38]
  3. Gien Banks

    Nissan Hardbody J83 Engine QD32

    Wengine wanasema kule mabei kama yote…cz ilala well wale wengin ni importers ila huenda tandale ukapata cheaper (cz ni used in bongo) Hapa natafta chimbo ikifaa hata contacts za wahusika niwacheck. Thanks
  4. Gien Banks

    Nissan Hardbody J83 Engine QD32

    Temeke maeneo yapi mkuu ??
  5. Gien Banks

    Nissan Hardbody J83 Engine QD32

    Kwema Wakuu Naomba kujuzwa spare parts za hii gari tajwa NISSAN HARDBODY J83 ENGINE QD32 napata wapi za mtumba imported na spare used za hapa hapa bongo (maana spare used za hapa bongo ni cheaper kdgo hasa kwa wale wanao kata na ku scrap magari) Currently nahitaji cutter out za alternator za...
  6. Gien Banks

    Naomba kujuzwa biashara ya kuosha magari (car wash)

    Biashara nzuri niliwahi fanya mwaka 2017 Mwenge, Dar es Salaam….. Ujinga wa hii biashara ni rubber za pressure pump kufa mara kwa mara na haichukui week 3 na inazengua tena…..sikubahatika mafundi waaminifu na kila nikipeleka kwa fundi kkoo gharama za matengenezo na spare si chini ya 120,000...
  7. Gien Banks

    Nianze na kipi kati ya nyumba, gari au mke?

    Anza Kujenga Chief, Kimbiza Hadi Ufunike....then nunua gari then uendelee kumalizia mdogo mdogo....Bob ujenzi sio masihara ila usiogope pia inawezekana sana...i know what im saying, anza nyumba.
  8. Gien Banks

    Naomba kufahamishwa gharama ya Kujenga msingi

    Goba kama unaenda huko ila si huko.
  9. Gien Banks

    Naomba kufahamishwa gharama ya Kujenga msingi

    Braza watu tuna focus mbali (Mungu tu anijahalie umri mrefu [emoji1488]) ila tunaanza taratibu leo....kuna private office, study room ya madogo, top floor living room, laundry room, kitchen and store kwa nnje kuna underground ambayo ni gym na lounging area nikiwa na ndugu, jumuiya na wana...
  10. Gien Banks

    Naomba kufahamishwa gharama ya Kujenga msingi

    Kuwa na Maono ya Mbali Jenga nyumba kubwa ila anza mdogo mdogo hata ikichukua miaka 10 we target room 8 au 6 vyote master. Mimi ndio target yangu hii. Kiwanja cha slope ndio chenyewe cz unatoa underground. Kwenye material simamia show mwenyewe mwa mwi. Naamini inawezekana. Epuka kujenga mara...
  11. Gien Banks

    Nyumba za kuishi zinazojengwa na wasomi wa siku hizi zinafikirisha

    Muulize anaijua bei ya nondo za ujenzi ?? Au Kula Kulala Tu
  12. Gien Banks

    Biashara ya Kuuza chips

    Sawa Fanya Kiswazi Utajirike. Unapolala Ndio Tulipo Amkia
  13. Gien Banks

    Biashara yangu imedoda, nimekosea wapi na nini kifanyike kuiimarisha?

    Umemshauri madini matupu. Nilitaka ni type hivi hivi. Na hichi ndio kina felisha wengi. Chukulia biashara kama mtoto alyezaliwa ana tambaa, anakaa, ana tembea kwa kujishika na kuanguka kisha anatembea....kishaa anaanza shule... nursery, hatimae la 4,7 na kuendelea. Biashara yeyote, its a process.
  14. Gien Banks

    Biashara ya mawe

    Subscribed
  15. Gien Banks

    Natafuta Mashine ya Interlocking Bricks (Tofali Za Kufungamana)

    Bei za mashine zinakwendaje ??
  16. Gien Banks

    Natafuta Mashine ya Interlocking Bricks (Tofali Za Kufungamana)

    Kaka nakuomba uki settle urudi please. Ur content is highly appreciated. Many Thanks.
  17. Gien Banks

    Natafuta Mashine ya Interlocking Bricks (Tofali Za Kufungamana)

    Duuh ila end products vp ?? Tofali ulipata yenyewe ?? Na we pia umejenga kwa interlocking bricks ?? Nakuskiza Chief.
  18. Gien Banks

    Natafuta Mashine ya Interlocking Bricks (Tofali Za Kufungamana)

    Shukrani, Hapa bongo vp ?? Any connects ??
Back
Top Bottom