Search results

  1. M

    Rais wa Gabon abwaga manyanga

    Rais wa Gabon Bw. Omar Bongo ameachia ngazi ya urais kwa muda kwa sababu ya matatizo ya kiafya. Rais huyu kutoka Afrika ya Magharibi amekuwa madarakani tangu mwaka 1967 amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa ambao hadi sasa haujawekwa hadharani. Wananchi pamoja na viongozi wa upinzani nchini humo...
  2. M

    Obama to visit Ghana in July.

    President Obama will rack up plenty of frequent flyer miles this summer with planned trips in Africa, Russia and Italy. President Obama will travel to Ghana for two days after the G8 Summit in July. Obama, along with his wife, Michelle, will visit Accra, Ghana, on July 10 and July 11...
  3. M

    Baada ya kusakamwa: EOTF wazinduka.

    Wananchi wengi wamekuwa wakihoji kulikoni EOTF (Ile NGO iliyo chini ya Mama Mkapa). Tangu Fisadi Mkapa amalize kipindi chake cha uongozi na kuanza kusakamwa na balaa la UFISADI, hii taasisi ilikuwa kimya kupita kiasi. Watu walianza kujiuliza kama na yenyewe itakuwa imemaliza kipindi chake cha...
  4. M

    KENYA: Mgombea UPINZANI ashinda USPIKA

    Hatimaye mgombea kiti cha USPIKA nchini Kenya kutokea chama cha upinzani ashinda kiti hicho. Mgombea huyo aitwaye Kenneth Marende iliibuka kidedea kwa kura 105 dhidi ya kura 101 za mpinzani wake aliyekuwa akiiungwa mkono na serikali (Francis ole Kaparo) Tunajua vilifanyika vikao vya siri kati...
  5. M

    Tujifunze Nini Toka Tume ya Uchaguzi Kenya

    Nimesoma habari toka kwenye gazeti la Tanzania Daima kuwa Tume ya uchaguzi Kenya yakiri kuwa ililazimishwa kutangaza ushindi kwa Mh. SANA na ni kweli alifanya hivyo kama habari inavyosema hapo chini. Lakini sasa mambo yamekuwa moto bin hot kwa Mh.Kibaki baada ya huyo mwenyekiti wa Kenya...
Back
Top Bottom