Baada ya kusakamwa: EOTF wazinduka.


M

Mabbyjr

Member
Joined
Aug 19, 2007
Messages
29
Likes
0
Points
0
M

Mabbyjr

Member
Joined Aug 19, 2007
29 0 0
Wananchi wengi wamekuwa wakihoji kulikoni EOTF (Ile NGO iliyo chini ya Mama Mkapa). Tangu Fisadi Mkapa amalize kipindi chake cha uongozi na kuanza kusakamwa na balaa la UFISADI, hii taasisi ilikuwa kimya kupita kiasi. Watu walianza kujiuliza kama na yenyewe itakuwa imemaliza kipindi chake cha kuwa active na Social activities baada ya Mkapa kumaliza kipindi chake. Hata hapa JF watu wamekuwa wakielekeza maswali kwa huo Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote lakini hakuna hata kiongozi mmoja kutoka mfuko alijitokeza kuzungumzia hilo. Hivyo mie nilihisi labda huo Mfuko umehamishiwa kwenye Miradi ya Fisadi Mkapa /Mr. Clean (Mawazoni)/ ambayo hataki kuizungumzia.

Sasa OETF imezinduka na kuja na hili hapa chini.....


Mfuko wa fursa sawa kwa wote - EOTF kwa kushirikiana na ustawi wa jamii umefungua kituo cha kusaidia watoto yatima kupata elimu kutokana na watoto hao kukosa fursa hiyo muhimu.

Akiongea na ITV katika kituo hicho kilichopo Ilala jijini, kaimu mkurugenzi mtendaji wa EOTF Bwana Steven Emmanuel amesema kuwa mbali na kuanzisha kituo hicho taasisi hiyo imejiwekea utaratibu wa kila ijumaa kufanya kazi mbalimbali za kijumuiya.

Kwa upande wake meneja mradi wa EOTF amesema kuwa wao kama taasisi inayojihusisha na masuala ya kusaidia makundi ya aina mbalimbali katika jamii wamehamasika kuanzisha mradi wa yatima kutokana na kundi hilo kutopewa uzito zaidi katika miradi iliyotangulia.

Source: ITV
 
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
6,446
Likes
393
Points
180
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
6,446 393 180
MIRADI YA FIRST LADIES....
Naipenda Tanzania kwa ubunifu ktk sekta ya ugugunaji fedha za umma.....
 
Mtaalam

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2007
Messages
1,279
Likes
43
Points
145
Mtaalam

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2007
1,279 43 145
atleast they are doin something for the community!!!
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,436
Likes
117,316
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,436 117,316 280
atleast they are doin something for the community!!!
Noooo! Mtaalam...They are pretending that they are doing something for the community, but in reality they are the one who benefit the most and not the community.
 
Mtaalam

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2007
Messages
1,279
Likes
43
Points
145
Mtaalam

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2007
1,279 43 145
bubu dats why i said "SOMETHING"!!!!!i hope we ol know the meaning ya hilo neno!!
 
M

Malila

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2007
Messages
4,487
Likes
923
Points
280
M

Malila

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2007
4,487 923 280
Taasisi hii ilipashwa ibadili jina na kujiita fursa sawa kwa wachache.Mfuko huu umewahi kutoa fursa yo yote huko Tunduru,kibondo na pembezoni kwingine achia mbali Kilimanjaro na Dsm,nisaidieni jamani wenye data,nisije nikawalaumu bure.

Kuna watu mikoani wamekosa fursa jamani,achani mchezo.
 

Forum statistics

Threads 1,235,562
Members 474,641
Posts 29,227,057