2018 nilikutana na maajabu makubwa beach,..
eti nimetoka kuogelea jamaa likanifata likaniambia eti naonekana nimebalikiwa kwa babu..huku linaomba namba za simu..
Yaani ni story ndefu,ila nilishinda yale maovu.
Binadamu wabaya sana na ukiamua kuwapiga vitu vizito basi unaweza kuwamaliza binadamu, cha msingi punguza huruma (inapobidi pitia kwa sangoma ty)na punguza kuwaamini binadamu....
Laki 5 ni pesa kubwa sana kwa matumizi ya nyumbani...+ pia mkewe ni mtumishi, naimani anachangia japo laki moja kwenye matumizi.
LAKI TANO NI SALARY YA WATU WENGI KATIKA TAIFA HILI LA TANZANIA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.