Search results

  1. M

    Waziri wa Maji amewapora wanamkwiti huduma ya maji

    Mwaka jana mwezi Novemba ulienda kiwanda cha mabomba pale Ubungo na kukagua mabomba ya mradi wa maji kutoka Mitema kwenda Mangombya hadi Mkwiti wilaya ya Tandahimba mkoani mtwara. Ukaagiza mkandarasi afuate mabomba hayo Ili wananchi wa Mkwiti wapate maji. Ajabu ni kwamba baada ya ziara yako...
  2. M

    RC Mtwara fuatilia kero ya michango ya ujenzi wa madarasa Mnyambe

    Wananchi wa kata ya MNYAMBE tarafa ya CHILANGALA wilaya ya Newala wanalalamikia ukisanyaji michango kwa kutumia nguvu kunakofanywa na watendaji na Diwan ambapo Ili kuchangia ujenz wa Madarasa ya sekondari kwa fedha za imf (UVIKO 19). Kila kaya inalazimishwa kutoa mvhango wa shilingi elfu kumi...
  3. M

    RPC Iringa saidia kusimamia kesi ya kunajisi watoto Ruaha Mbuyuni

    Siku ya tarehe 6 oktoba mwaka huu amekamatwa kijana CHARLES RICHARD KASUKE fundi kinyoz wa saloon ya dofco iliyopo magengeni Ruaha Mbuyuni kwa kosa la kuwanajisi watoto wawili ANETH GEORGE MNYAONGA miaka Saba mwanafunz darasa la pili s/m mbuyuni na DORCUS MNOTA miaka 6 mwanafunz wa darsa la 1...
  4. M

    Rais Magufuli mulika Hospitali ya Mkoa wa Lindi ina madudu ya kutisha

    Rais Magufuli Mimi kama Mtanzania nachukua jukumu hili kukufahamisha kuwa hospitali ya mkoa wa Lindi Sokoine Ina watendaji/ viongoz wabovu kuwahi kutokea katika historia ya sekta ya afya mkoani Lindi. Kwanza Kuna malalamiko kutoka karibu katika kila kada ya wahudumu wa hospitalini hapo ambapo...
  5. M

    Mchungaji aingia kwenye mgogoro wa ndoa baba mke wake kisa binti wa kanisani

    Inadaiwa mchungaji wa Kanisa la Restoration Bible Church huko ruaha Iringa ameingia kwenye mgogoro wa kifamilia na kanisa kutokana na mchungaji huyo aliyefahamika kwa jina moja la Jeremia kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdada aliyejulikana kwa jina la Vaileth ambae pia amempa kacheo flan bila...
  6. M

    Serikali imulike ofisi ya utumishi halmashauri ya wilaya ya Singida

    Kuna afisa utumishi Wa halmashauri ya wilaya ya Singida anaitwa Neema Eligawesa. Anafanya Kazi kwa majungu fitna na chuki, amekuwa anawabagua watumishi kwenye kupanga nyumba zinazomilikiwa na halmashauri hiyo kwa kutaka wakae wahaya wenzie huku akitaka mmoja Wa katibu muhtasi Wa idara moja ahame...
Back
Top Bottom