Search results

  1. A

    Mgombea urais na elimu yenye mashaka

    Rubbish post.
  2. A

    Wana CCM shangilieni kwa raha zenu, ushindi tayari Kwani Kaka kuona leo ametabiri Rais ajaye!

    Naona watabiri aka manabii hawajatosha ss ni kakakuona siesiem kazi mnayo
  3. A

    Trish Zemba: Je ni muujiza gani uliomtokea binti huyu…?

    God is great,believe and archieve
  4. A

    Amejaliwa kuwa hivi au mzigo?

    mchinaaaaaaa!!!!!!! :yawn:
  5. A

    Majina na Tabia zake

    Allan........ Allen........... Alice.......... ?????????????
  6. A

    Arusha: Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA wabwagwa mahakamani!

    kuzomea sio kosa watazomewa sana A town watu hawaogopi
  7. A

    Mwekezaji anatafuta shamba

    jamani kuna waisrael wawili wanazunguka kutafuta mashamba kama ni hao msipoteze muda wenu walikuwa Arusha tumewachoka huku ni wasanii hao
  8. A

    Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

    Kobil????????????? DELINA???????????
  9. A

    Iddi Azan awaka bungeni

    hahahahaaaaaaaaaa leo ndio makalio ya huyu jamaa yamemtuma kuongea hivyo mjengoni!!!!!!! Mpaka miaka mitano iishe kazi ipo
  10. A

    Mapinduzi yaja Tanzania

    Ndio maana leo kampokea mwenzake anyeongoza nchi akiwa anaishi nchi nyingine labda anataka afundiswe mbinu na huyo jamaa maana hapa moto utawaka muda soon
  11. A

    Madiwani wasaliti Arusha wanusurika kupewa kibano maeneo ya OTTU leo

    Alhamisi jioni ndio mzuka utapanda vizuri sasa hivi watu wanahasira wanasubiria kupandishwa mzuka Watajutia hizo chenchi mbuzi walizopewa
  12. A

    Hotuba ya viongozi wa CHADEMA huko Arusha

    Hivyo ni vidokezo muhimu sana kwa ajili ya alhamisi Arusha ni ya chadema tu maana watu wake wako makini Hili ndio jimbo la mfano kwa wanaotaka kufanya mageuzi ya kweli na utawala bora Hapa tunachagua chama na si mtu Hata yule wa TLP alikula hela na baadae akakitaa cheo. Hawa wakina YUDA ESCARIOT...
  13. A

    CHADEMA ngoma mbichi Arusha

    A town ni ngome ya chadema. Hata serikali inajua. Ushahidi anao yule dada aliegombea ubunge
  14. A

    CHADEMA ngoma mbichi Arusha

    wanajamii hawa wasaliti ingekuwa ni china enzi za Mao ndio wangejua madhara ya usaliti. Walisahau watu wamekufa, waliumizwa na polisi na kesi iko mahakamani ni kwamba wanataka hawa waheshimiwa wafungwe au? Hata hapa town hawatakaa kwa amani watazomewa kila kona
  15. A

    Mh Nape alipowasili tu Moshi Mjini alikutana na mabango, yakachanwa hadharani

    Nape yupo kibiashara huko ccm wakimzingua tu anarudi ccj,Hamuoni anavyoropoka ovyo majukwaani? Haogopi anajua hao cio wenzake!!!!!!!!!!
  16. A

    Mh Nape alipowasili tu Moshi Mjini alikutana na mabango, yakachanwa hadharani

    Nape mwenyewe ni gamba huko ccm anatakiwa kuvuliwa
  17. A

    Komba Bungeni

    Jamani komba ni mnyama anayekuwa active usiku, tusimshangae sana huyo alieko bungeni alikuwa anaota tu.Ndio muda wake wa kulala aliyemuamsha ndio kakosea.
  18. A

    Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yagaragazwa Bungeni

    Jamani jamani hawa wakina ndioooooooooooo 2015 ndio wataona cha moto na hayo magamba wanayojivua gizani
Back
Top Bottom