Search results

  1. F

    Nimekata nusu mwaka sasa bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi

    Naona ulikuwa unajichukulia sheria mkononi
  2. F

    Auxiliary Worker at CCBRT

    acha nijaribu huenda mambo yakawa mazuri huku
  3. F

    Natafuta kazi ya malipo ya siku

    weka wasifu wako na mkoa unapopatikana, na aina ya kazi unayohitaji na mawasiliano.ili wadau wakusaidie
  4. F

    Upepo wa Motivational speakers, Vijana na NGOs, kilimo cha makaratasi, project za innovation kiteknolojia zinaishia wapi?

    nasema hivi hakuna pesa rahisi, narudia tena hakuna mtu mwenye roho nzuri akuonyeshe njia yenye mafanikio rahisi huku ndugu zake wakiwa vijijini wanateseka..
  5. F

    Nina maumivu mkali sana kwenye korodani

    kapime epididimicy, nirekebishwe kama nimekosea kuandika
  6. F

    Watu wa Ubungo Postikodi interview imeendaje

    Duhhh, hizi kazi unaenda interview kumbe kuna watu washaanza kazi.. sina hamu nazo
  7. F

    Natafuta kazi yoyote, nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management

    hii course huwa ni bei gani mkuu na huwa inachukua mida gani kumaliza, na vyuo gani vinatoa hii course.
  8. F

    Mtoto wa mke wangu kaniunganishia kademu kazuri balaa

    unaongea ukiwa na Konyagi au K vant kichwani!?
  9. F

    Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

    Hakikisha unatumia kondom na kupima kabisa
  10. F

    Anayejua zinapouzwa hizi "manual blender" za kusagia juisi

    ya mtumba au ya dukani yote sawa
Back
Top Bottom