Search results

  1. Mohameddiwani

    kutana na fundi umeme wa nyumba yako wa bei poa na wireling safi

    fundi umeme wa bei poa na kazi nzuri nipo hapa kwa ajili yako.napatikana dar es salaam.nitafute kwa namba 0652868486
  2. Mohameddiwani

    Kutana na fundi wa umeme Dar es salaam

    kutana na fundi wa umeme wa bei poa na kazi nzuri kabisa.nipo dar es salaam.nitafute kwa namba 0652868486
  3. Mohameddiwani

    Ni mahesabu au uchawi umetumika(bunduki inaanza kutoa risasi alafu ndo mlio unafata)

    Wajuzi wa mambo naomba mtusaidie kujua nini hapa kinachosababisha bunduki kuchelewa kutoa sauti kabla ya risasi kutoka.kwa uwelewa wangu nilikuwa najua sauti inatoka kwanza kabla ya risasi kufika eneo husika,kumbe sivyo nijuavyo mimi nasikia risasi ukishafika kwenye target sauti ndo inafata
  4. Mohameddiwani

    Hati ya kusafiria ya muda mfupi inapatikana vipi uhamiaji?

    Wakuu naombeni mwenye kujua upatikanaji wa passport ya muda maana nina safari ya kwenda msumbiji kukaa mwezi 1. Naomba pia kujua na vigezo vyake maana naona passport kubwa itanichelewesha Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mohameddiwani

    Natafuta mwanamke mtu mzima mwenye kujielewa tuwe na mahusiano

    Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili awe mpenzi wangu Sifa-:- 1) umri kati ya 25 mpaka 45 2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote) 3)mwenye kazi yake au biashara 4)mwenye watoto(maana napenda sana watoto) Naomba njoo pm weka namba tuwasiliane.mi nipo dar es salaam,nina miaka 30...
  6. Mohameddiwani

    Wanaume makosa yetu wenyewe ndiyo yanayotuhukumu

    Yawezekana kweli tuna upendo wa dhati kutoka moyoni lakini tamaa ya mwili imekuwa ugojwa mkubwa wa akili za maisha yetu. Tumekuwa watu wa kupenda pale tunapowaona,lakini uwa tuna wadharau pale tunapokuwa nao,baadae tunawachukia pale tunapowakosa. Tumekuwa watu wa kuzoea makosa yetu pasipo...
  7. Mohameddiwani

    Fundi dishi(azam,dstv,zuku na star times)na pia napachika Tv ukutani.nipo dar es salaam

    Fundi dish kwa mkoa wa dar es salaam nipo hapa nakuja popote pale.nitafute kwa namba 0745076270 au 0652868486
Back
Top Bottom