Search results

  1. Mwanga Mkali

    Maajabu: NHIF yashika namba 1 kwa mashirika ya umma yanayotengeneza hasara

    Hiyo yote ni kwa sababu ya jiwe.. rais wa hovyo kabisa ....sauti kutoka kwa walamba asali na misukule ya bi kidude.
  2. Mwanga Mkali

    Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

    Swali jepesi nani alizisimamisha na nani kaziruhusu? We here such talking jiblish another simple question, are thier pilots flying them with gun point? Wao hawajui sio safe?
  3. Mwanga Mkali

    Ninaumia moyo kila ninaposikia serikali ya Tanzania imeagiza ndege mpya ya biashara

    Dunia haijasimama kuwa mpole yote yana tekelezwa pamoja.
  4. Mwanga Mkali

    Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

    Nimepanda Max 9 more than 4 times from New York to Kingstone ya Caribbean Airlines then from Montego bay to .... Avionic au mfumo wa kielektroniki unaosaidia kuongoza mifumo ya uendeshaji ndege iliundwa upya kwa ndege zote kwa Max 7,8,9 and 10. FAA wakipitisha wengine wote tunamamlaka gani...
  5. Mwanga Mkali

    Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

    Is it safe to fly Boeing 737 Max 9? In clearing the Boeing 737 Max 9 to fly following rigorous inspection, the FAA is saying “yes.” FAA Administrator Whitaker underlined that point to CNN's Pete Muntean earlier this week. “If the aircraft is ungrounded, that means that we believe it's...
  6. Mwanga Mkali

    Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Sawa, naupeleka... subili ukigongewa utarudi kufuta huu ushuzi.
  7. Mwanga Mkali

    UKIMWI upo ndugu zangu

    Kayatimba... ila S.A since February wameanza kutoa chanjo na dawa tiba awahi kwa madiba.
  8. Mwanga Mkali

    Je, ndimu za unga zile za dukani ni kemikali gani?

    citric acid, which is an acidity regulator; enzymes, and tri-calcium phosphate (anticaking agent) may be added.
  9. Mwanga Mkali

    Assistant Investigators III (100 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Ajira Portal PCCB ni upuuzi mwingine unaokera... IT wao wameshindwa kabisa kui upgrade portal iweze ku accomodate namba ya wao apply
  10. Mwanga Mkali

    Kuna tatizo gani Ikulu ya Dodoma mpaka wageni wapokelewe Ikulu Dar es Salaam?

    Kuongeza ukuwaji wa miji na Majiji ni pamoja na kuijenga Dodoma na hilo limefanikiwa ni wajinga wachache wanaolazimisha Dodoma ionekane haifai.
  11. Mwanga Mkali

    Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

    Zamani kabla ya hiki kikokotoo kipya cha asilimia 33, mnufaika wa pensheni alikuwa analipwa asilimia 25 katika malipo ya mkupuo, yaani malipo ya awamu ya kwanza, kwa kutumia kanuni ya CP = (1/580*N*APE) *12.5*25%) na malipo ya awamu ya pili akilipwa asilimia 75 kwa kutumia kanuni ya MC = (1/580...
  12. Mwanga Mkali

    Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

    Hakuna mzungu anaesimamia biashara ya Mwarabu sema biashara zote kubwa za uwekezaji kwa majina ya waarabu zinamilikiwa na wazungu. DPW
  13. Mwanga Mkali

    Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

    Pitbull jiandae kisaikolojia kukugeuka hata mmiliki wake. Ni wa hovyo sana GS ndio mbwa wa kuishi nae. Kule Mwanza walishambulia familia, marehemu Mzee Kingunge na walipita nae na akafariki.
  14. Mwanga Mkali

    Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Hakuna kitu kama hicho ikifa option ni kununua injini mpya
  15. Mwanga Mkali

    Remove sex from a relationship, women have nothing to offer. Is it true?'

    Aisee...uko vizuri...hupepesi mkono unadonoa vitufe mulemule.
  16. Mwanga Mkali

    Hayati Magufuli alitaka kukata "Chain" ya JK akaondoka Mama 2025 Ataweza?

    Haka ka ujinga ka kuamini mtu fulani aliyewahi kukuamini kwa interest zake akakuteuwa ili umsaidie kwenye haja zake ikafika wakati ukawa top eti bado unalazimika kumsujudia anapohitaji favor toka kwako ili aendeleze utawala wake ulikwisha. JK angekuwa na ujinga huo asinge mtosa Lowasa labda kama...
  17. Mwanga Mkali

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Baada ya kutuulia JPM wacha wachafuane mpaka watoane roho who cares
  18. Mwanga Mkali

    Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

    Kazi za Makamba ni kuframe wenzie waliotishio kwenye mbio zake za 25 ...dukua whats app tuma picha chafu, vujisha tengeneza zengwe mtu aondoke maisha yaendelee.
Back
Top Bottom