Search results

  1. Shinji 26

    Future

    Friend request zimekua chache kule fesibuku...nadhan atakua kaja kuomba "like" huku
  2. Shinji 26

    Adha za "Kibanda Umiza"

    Iko kibanda umiza ni cha mitaa ya wapi mkuu!! Mbona vya huku kwetu TV zipo juu,hawaruhusu sigara na vingine mabenchi yanakua marefu kadri umbali kutok kwny TV unavyoongezeka
  3. Shinji 26

    Riwaya: I died to save my President

    Bado moja kulubule Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Shinji 26

    Sheria ya salamu ya "Shikamoo"

    Atakua na matatzo yake huyo Alaf kuna hizi adabu za kiislam "kutoa salam kwa sauti kubwa kwa mtu alie mbali si katika adabu" ni vyema umsogelee au utafute wakati mwingin ukutane nae ndipo mpate kupeana salamu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Shinji 26

    Sheria ya salamu ya "Shikamoo"

    Unainua hata kiganja tu kwa kuashiria unampa salam japo kwa mbali Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Shinji 26

    Siri ya Kuchapiwa hii hapa

    Kweli story inagusa...wanawake wanalia kwa mengi [emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Shinji 26

    Riwaya: I died to save my President

    Vicky kanikosha sana.. Elvis kwa mara ya kwanza nimemshusha vyeo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Shinji 26

    Sitaisahau siku ya interview

    [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Shinji 26

    Kweli ni mmekula mama na mtoto

    Utakua na undugu na yule mzee wa GPA ya 32 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Shinji 26

    Riwaya: I died to save my President

    Safi sana....kama kutakua na kigongo cha kutupatia usingiz mororo tupatie tu maan hizi dozi zinatibu shida karbu zote ktk awamu hii Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Shinji 26

    Riwaya: I died to save my President

    Mkuu kulubule wakati wengine wakienda kupata furaha na wapendwa wao tushushie angalau vigongo viwili ili tuende nao sambamba....natanguliza shukran zangu za dhati kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Shinji 26

    Ujenzi wa njia 6 kimara - kiluvya waanza.

    Ila imeanza kimya kimya bila jiwe hadi raha Kama jiwe hajaipa promo itakua anasubir chama pinzani watoe kasoro kwanza
  13. Shinji 26

    Riwaya: I died to save my President

    Steven karud ulingoni...achecheeee
  14. Shinji 26

    Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aiseee
  15. Shinji 26

    Nidhamu ya matumizi ya simu: Mambo ya kuzingatia kukuepusha kuwakera wengine

    Kuongea kiLugha(lugha ya asili kijijini kwenu) kwa sauti kubwa kwny usafiri wa umma
  16. Shinji 26

    Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

    Uyu dada anamilik asset za kiasi gan kwa sasa alizovuna kwa huyo shemej ako wa kugharamia mamilioni....10m+
  17. Shinji 26

    Mtoto wa tandale kwenye ubora wake

    Kutoka kwny mada ya mtoto wa tandale hadi kwa mchezaji wa coastal union Unaendekeza ubishi sana mkuu
  18. Shinji 26

    Mwezi wa tisa nahamia rasmi Dar

    Karibu kwny ulingo wa visu bisibisi na mapanga Jitahidi kuwahi kurudi kabla ya saa 5 usiku Usiwaamini bodaboda usiku pindi uwapo barabarani peke ako hasa ukiwa na kamzigo kenye kuashiria thamani mgongoni(begi lenye laptop n.k) Jitahid kufunga geti au mlango wako mida ya usiku(hapa unajihadhari...
  19. Shinji 26

    Amber lulu Ni zaidi ya Msanii

    Kwa uchunguz mdogo nilioufanya nimegundua bado hajafkia hips za yna4
  20. Shinji 26

    RIWAYA: Msitu wa Solindo

    Kulubule haujawahi kutuacha njiani,weka mambo mapema mapema
Back
Top Bottom