Search results

  1. Trouton

    FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

    Milioni 30 zimewaponza Prisons. Bora wangefukuza mwizi kimya kimya.
  2. Trouton

    Kama Wizara ya Maliasili na Serikali hawana mkakati wa kutokomeza kunguru weusi, tuwape tenda wachina

    Hapo ni kama unawafuga hivi. Fanya maboresho ili wapungue. Kwenye maji na chakula weka sumu ili wakitumia wakafe, utakua umesaidia jamii ya hapo.
  3. Trouton

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Apewe cheti tu huyo, ameshafuzu mafunzo.
  4. Trouton

    Tusaidianeni kwa hili

    Sawaa, nawe endelea kuwa mvumilivu, Mungu anakuandalia kilicho bora.
  5. Trouton

    Tusaidianeni kwa hili

    Basi ngoja nimsubirie mwenye sababu zilizo ndani ya uwezo wake
  6. Trouton

    Tusaidianeni kwa hili

    Kwahiyo upo single, nikaribie pm tuyajenge
  7. Trouton

    Tusaidianeni kwa hili

    Hii inatokea pale mama wa huyo mtoto akiwa anasumbua, wivu ndo unapoanzia. Ila wengine mbona wako poa tu. Cha muhimu ni kuwa wakweli
  8. Trouton

    Hello

    Karibu mbaka chumbani
  9. Trouton

    Tusaidianeni kwa hili

    Basi hakuna haja ya hii thread, tuendelee kuwa single kama hakuna kupendana.
  10. Trouton

    Tusaidianeni kwa hili

    Ipo siku utakutana na mtu ambaye utakua kama teja kwake, mda wote utamuwaza yeye.
  11. Trouton

    Tusaidianeni kwa hili

    Pole kwa hilo, ila inawezekana ulikua unaumia kwa sababu ulikua unampenda sana. Kwahiyo kikubwa ni kupendana, hivyo vingine vitakuja tu.
  12. Trouton

    Tusaidianeni kwa hili

    Hivyo vigezo vyenu, unakuta unamsubiria wa hivyo halafu hatokei, badala yake mtu anaanza kujipeleka ili apendwe na mwisho wa siku analizwa.
  13. Trouton

    Tusaidianeni kwa hili

    Na hii ndo shida yenyewe.
  14. Trouton

    Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

    Mfano Yanga akitolewa hatua hii ndo anaenda CAF CONFEDERATION CONFERENCE CUP? 😅😅😅
Back
Top Bottom