Search results

  1. E

    Hii ya kulipia kubadili namba za pikipiki imekaaje?

    Jana nimetoka kulipia mabadiliko ya namba za pikipiki mpya kutoka zile za zamani. Cha kushangaza ni kwamba unapaswa kulipia elfu kumi kubadili namba na ukifanya hivyo kadi yako mpya inatoka imeandikwa commercial na kuirudisha iwe normal\private unatakiwa ulipie elfu kumi nyingine. Nimewauliza...
  2. E

    Radio kwenye dstv

    Nimezoea kwenye madishi makubwa kwenye channel napata radio ila dstv kwenye audio ndo unashika radio ila sijawahi pata za kitanzania.mweye ufahamu nataman kushika radio za kibongo via dstv inakuwaje kama inawezeka? nijuzeni
  3. E

    Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...

    ila jambo la kuweka grid ya taifa sehem moja ni hatar kiusalama.ikitokea al shabab wakapiga ubungo mungu epushia mbal isitokee. ikitokea hvy maana yk tanzania nzima giza. hebu serikal chukuen tahadhar
  4. E

    Nina phone samsung window haina whatsup

    Nimekuta mtu nae anaulizia nisearch wap elekeza pls
  5. E

    Samsung window phone! Msaaada jamani..

    Hata mm ninayo tatizo ni Hilo haisupport chcht sijui eti Kuna ameniambia mpk Zune application sijui
  6. E

    Nina phone samsung window haina whatsup

    Nina Samsung window SGH-i917 window phone 7 AT&t h haiwez kudownload whatups na application nyingine. Ukitaka hata kuweka hata fedha application haziwwi active
  7. E

    Waziri Maghembe: "TANESCO, ukiritimba too much"

    Shirika la tanesco hivi karibuni limeongeza bei kwa unit hivyo kuongeza gharama za maisha.mojawapo ya sababu zinazotolewa juu ya kuomgeza bei ni kuboresha huduma na kufanya mapinduzi kulifanya shirika linalotengeneza faida. Cha kushangaza hawa wanaoelekea kuwa wafanya biashara watakaotengeza...
  8. E

    Hizi ndo athari za kupanda kwa bei ya umeme

    Tunakaribia uchaguzi wa serial za mitaa tunalipia gharama hizo kwa maccm. Wanakaba kila mahali
  9. E

    Kumekucha: Mawaziri waitwa Dar ghafla!

    Kipi hakielewek unaweza kuwa na gari ya ofisi ukaona ni bora uwahi kufika na ndege then gari ikukute huko. Si unajua mambo ya kuwek sawa mambo lazima kuwahi
  10. E

    Dar: Bomu laonekana makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango!

    Na mimi nimewaza hivyo. Intelijensia itasema kusiwepo na mikusanyiko
  11. E

    Mwenyekiti gani wa CCM taifa aliyepambana na mwingine katika uchaguzi wa ndani?

    Maccm wanatak waliemuweka wao. Tuambien nccr'cuf'na chcht kingine ina wenyevit wangap au wagombea urahis wangap toka wasajiliwe
  12. E

    Kukatikakatika umeme Ifakara tuna uongozi kweli?

    Mji wa Ifakara ni mojawapo ya miji ininayokuwa kiuchumi na iko wilaya ambayo ina vyanzo viwil vya umeme kigahansi na kidatu cha kushangaza umeme unakatika kila iitwayo leo na kbila taarifa kwa muda mwngi kisingizio ni matengenezo. Hv kwel tuna uongozi wa wilaya? na meneja wa tanesco anafanya nn...
  13. E

    Mwakyembe na CCM ahadi zenu huwa si za kweli- malipo fidia ujenzi reli Mwambani Tanga

    Serikali ya Tanzania kwa kushrikiana na Serikali ya Uganda watajenga bandari ya Mwambani mkaoni Tanga. Sambamba na ujenzi wa bandari kutakuwa na ujenzi wa reli kutoka bandarini kuelekea mpaka bandari ya nchi kavu ya Musoma. Wananchi waliahidiwa kulipwa fidia kupisha ujenzi wa bandari na reli...
  14. E

    CHADEMA kina wanachama wangapi?

    mi nawashangaa ccm wanashindwa kuchukua simple logic waliopiga juzi na chaguz zote za hivi karibun ni wale walioandikishwa 2010 tena wengi ni wazee na bado kuna matokeo chanya mengi kwa CDM. subirin daftari jipya na vijana wote hawa wawe kwenye daftari uone mzik wake
  15. E

    Ahadi za Mwakyembe wakati wa bunge la budget

    wakat wa bunge la bajeti waziri mwakyembe kwenye bajeti yake alitoa ahadi ya utekelezaji wa miradi ikiwemo malipo ya fidia kwawananchi kupisha ujenzi wa reli eneo la tangasisi Tanga pamoja na usafiri wa treni. kwa mdomo wake aliahid kulipa wananchi mwezi wa tisa na usafir kuanza mwezi wa...
  16. E

    Umoja wa wanawake wa CCM uitwe UWCCM na sio UWT

    toka zaman enzi za chama kimoja umoja wa wanawake wa CCM wamekuwa wakiuuita umoja wao UWT sasa ni vyma vingi imefika mahali wauuite UWCCM Kama ilivyo UVCCM .INAUDHI mkiendelea kuita UWT
  17. E

    Mgomo wa wanafunzi halali kweli???

    Hivi ni mimi peke yangu au kuna wengine wanaodhani kwamba wanafunzi nao kuandamana ni ujinga tu... SERIKALI imelazimika kutumia Jeshi la Polisi katika harakati zake za kudhibiti mgomo wa walimu ambao jana uliingia katika siku yake ya pili, huku maandamano ya wanafunzi yakiendelea katika...
  18. E

    Tundu Lissu ataja wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa, Zitto si mmojawapo

    ametaja wa kama ti ya nishat na madini kama kuna wengine ni wa kamati nyingine
  19. E

    Mtuhumiwa anapokuwa Hakimu ,wajue wajumbe wa kamati ya Haki,Kinga Madaraka ya Bunge

    angalia wajumbe wa kamati tuhumiwa linganisha ni wangap wamepewa kazi ya kuhukumu Local AuthorityAccounts Photo Fullname Political party Position Mrema, Augustino Lyatonga TLP CHAIRPERSON Azzan, Idd Mohamed CCM DEPUTY CHAIRPERSON Mchuchuli, Kuruthum Jumanne...
  20. E

    Wabunge wa CUF hawamo katika tuhuma za ufisadi?

    Singel yake haiuzi,copy and paste :israel:
Back
Top Bottom