Search results

  1. Maujohnsimba

    Naomba ufafanuzi kuhusu lenta kwenye ujenzi wa nyumba

    Em tuma picha tuone kama ulichouliza vinaendana af wataalam watakujibu na mimi nijifunze
  2. Maujohnsimba

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Inachukua muda gani kumchorea mteja ramani yake...na wamkoani anapataje ramani yake iliyokamilika...na malipo yako unalipwaje..je ni baada ya kazi kukamilika au nusu kwa nusu..??
  3. Maujohnsimba

    CHADEMA mnavyokumbatia watu wanaotukana mtandaoni inawafanya muonekane chama cha kihuni

    Weka picha tuone kama ulichoelezea ni sahihi
  4. Maujohnsimba

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Nikupongeze mkuu kwa elimu unayoitoa..swali langu kwako ni moja tuu.. Ni kwa namna gani unaweza kujenga msingi wa mawe kwenye ardhi ya udongo wa mfinyanzi..??
  5. Maujohnsimba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu bado unapambana na ile staili yako..??
  6. Maujohnsimba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kilimo cha matikiti.. Motivesheni spika
  7. Maujohnsimba

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Maujohnsimba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio mbaya ya supu imepatikana.
  9. Maujohnsimba

    Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

    Powa powa.. Kwa siku anakunywa mara ngapi
  10. Maujohnsimba

    Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

    Toa maelezo vizuri mkuu.. Akisha loeka kwa masaa matatu anaacha kwenye glass hapo af ndo anapona au..
  11. Maujohnsimba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kufupisha maelezo we nunua alafu uje kutupa mrejesho hapa.. Pesa ni ya kwako wakati unatafuta hujaomba ushauri huku na hata matumizi yake ni wewe mwenyewe tu na akili yako..ukipigwa home and away akili itakukaa sawa..
  12. Maujohnsimba

    Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

    Chapati zinafaa kula mkuu..??
  13. Maujohnsimba

    Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

    Atafute mwenyew na kutumia mumpangie.. Eti anamshauri ye naniiiii.??? Kila mtu acheze mechi zake
  14. Maujohnsimba

    Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

    We mchawi unateseka ukiwa wapi..???
  15. Maujohnsimba

    Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

    Tanesco mwenyewe kakimbia.. Hana majibu.
Back
Top Bottom