Search results

  1. USTAADHI

    Magufuli ashindwa kuwanadi wagombea ubunge TARIME

    MGOMBEA urais wa CCM leo ametua katika wilaya ya TARIME na kukutana na dhahama ya wagombea wake wa UBUNGE kuzomewa ovyo katika majimbo yote mawili jimbo la TARIME VIJIJINI analogombea ndugu CHRISTOPHER RYOBA KANGOYE hali ilikuwa si shwari baada ya kangoye kuzomewa na watu kuimba kuwa...
  2. USTAADHI

    Wenje na Heche washikiliwa na polisi

    Ndugu wanabodi taarifa za uhakika zinasema mbunge wa NYAMAGANA EZEKIEL WENJE na aliyekuwa mwenyekiti wa vijana CHADEMA Taifa ndugu JOHN HECHE wanashikiliwa na jeshi la polisi Mwanza kwa kosa la UCHOCHEZI na kumtukana mkuu wa mkoa wa Mwanza Ndugu MAGESSA Mulongo. Mpaka sasa hawajatoka na...
  3. USTAADHI

    Uchaguzi Nyamagana waingia dosari vurugu yanukia

    TAARIFA ZA UHAKIKA Mkurugenzi wa jiji la Mwanza ndg. HASSAN IDDA umakini wako na kutofuata maelekezo utanusuru vurugu kutokea kwenye jiji bila chanzo cha vurugu hichi hapa baada ya viongozi wa CHADEMA jimbo la Nyamagana wakishirikiana na mbunge mh. Wenje kupokea orodha ya majina ya wapiga...
  4. USTAADHI

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa Mara kutoka CHADEMA mkoa Mara

    Hali si shwari kwa viongozi wa CHADEMA mkoani hapa kufuatia mlolongo wa matukio ya kinyama yanayowakuta viongozi wa CHADEMA ngazi mbalimbali wakiwemo wawakilishi wa wananchi kwa tiketi ya CHADEMA Leo tarehe 20 -11-2014 amechinjwa katibu wa CHADEMA tawi la ROSANA ndugu MATIKO MAKENGE...
  5. USTAADHI

    John Heche azua tafrani Vijijini Tarime

    KUANZIA TAREHE 18-10-2014 kumekuwa na misuguano mikubwa katika vijiji vingi TARIME baada ya wananchi wengi kugomea watendaji wa kata na wale wa vijiji kuwa hawako tayari kuchangia mchango wa maabara unaokisiwa kuwa kiasi cha tsh 17000-100000 kila kaya uliopangwa na serikali mbalimbali za vijiji...
  6. USTAADHI

    Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Tarime azomewa na wapiga kura wake

    Wana Jamvi mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tarime amezomewa na wapiga kura wake kwenye mkutano, hiii imetokea kwenye kata yake ya sirari alipojaribu kuwambia wananchi kuchangia kiasi cha sh10,000 hadi 50,000 za kujenga maabara za shule za sekondari kila kata ====================...
  7. USTAADHI

    CHADEMA Mara: lazima tufike kwa mkuu wa mkoa

    NDUGU zangu watanzania hii akili na nguvu kubwa wanayotumia polisi kulinda wahalifu ili tusiwahoji mchana inatupatia maswali mengi ya kujiuliza kama WATANGANYIKA kwa mtazamo wangu na watu wangu wote wa mkoa wa mara nimeletewa rundo la barua za kuzuia maandamano kila jimbo na wilaya sijaona...
  8. USTAADHI

    Mathayo Manyinyi afanya mkutano wa hadhara Musoma Mjini

    KATIKA hali iliyoashiria kuweweseka aliyekuwa mbunge wa musoma mjini enzi hizo ndugu VEDASTUS MATHAYO MANYINYI amejaribu kufanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya MKENDO wakiwa wameambata na jopo la viongozi wa CCM mkoa na wilaya. Wamefanya mkutano mkubwa wa hadhara uliokuwa na watu...
  9. USTAADHI

    Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    KWA MUDA HUU WA BREAK YA BUNGE MBUNGE KIPENZI CHA WANANCHI WA MUSOMA VINCENT NYERERE akishirikiana na uongozi makini wa CHADEMA mkoa wa mara na wilaya ameonesha mfano wa kuigwa baada ya kutekeleza zake alizoahidi kwa asilimia kubwa huku akifuta utaratibu wa zamani uliokuwa ukitumiwa na ccm hapa...
  10. USTAADHI

    Mwenyekiti wa CHADEMA ajeruhiwa vibaya Kigoma Uvinza

    makamu mwenyekiti wa kamati ya uenezi kanda ya mgharibi DEOGRATIUS LIYUNGA aliyeshambuliwa kwa kuchomwa visu na kukatwa na nyembe katika sehemu mbalimbali za mwili amesafirishwa kwenda hospitali ya taifa ya MUHIMBILI baada ya afya yake kuendelea kuzorota akizungumza mjini kigoma katibu wa...
  11. USTAADHI

    John Heche: Kwanini Yona hajafukuzwa CHADEMA?

    NIMEMSIKILIZA SANA leo mwenyekiti wa BAVICHA CHADEMA ,JOHN HECHE akizungumzia maswala ya katiba mpya na msimamo wa chama chake CHADEMA katika yote nimeshangazwa na yeye kutoonesha kutetereka na kauli za mwenyekiti wa temeke huku akimwita pandikizi kongwe na zoezi la yona kupinga chama chake...
  12. USTAADHI

    PICHA, HECHE amshushia tuhuma nzito KINANA adai ikipatikana katiba mpya kinana ni MFUNGWA TARAJALI

    picha Akiwa IGUNGA jioni ya leo mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA ndugu JOHN HECHE amewaomba wananchi kwa kila mwenye pumzi aiunge mkono rasimu ya pili ya katiba na kudai kuwa CCM wanaipinga kwa nguvu kwa sababu iko upande wa wananchi zaidi ya kuwa upande wa CCM na serikali yake ndiyo maana...
  13. USTAADHI

    ACT yatua Tarime kwa staili ya kipekee

    CHAMA cha siasa kinachojulikana kama ACT jana kilianza kazi rasmi ya kuvuruga mwenendo wa kisiasa ndani ya mji wa tarime imefahamika Taarifa za kuaminika zilizotufikia zinaonesha kuwa jana wajumbe wasiojulikana nyadhifa zao waliotambulika kwa majina tu walionekana majira ya saa 11 jioni mpaka...
  14. USTAADHI

    Heche amvua gamba mkongwe wa miaka zaidi ya 25 ndani ya CCM

    Heche aipasua CCM nyamongo avua gamba visiki vyao, aahidi kupigania wana Tarime na watanzania wote. Aionya polisi juu ya ubambikaji kesi kwa wananchi na aomba orodha ya watu wote waliobambikwa kesi.
  15. USTAADHI

    CCM yaendeleza uporaji "yapora Halmashauri ya mji Tarime

    fukuto la kutokuwepo kwa uelewano wa ama kutokukubali kwa chama cha mapinduzi CCM kuongozwa na vyama vingine hata kama fursa zinaruhusu zimeendelea kutapakaa baada ya ARUSHA,ILEMELA sasa limehamia tarime baada ya halmashauri ya wilaya kugawanyika kuwa halmashauri ya mji wa tarime na halmashauri...
  16. USTAADHI

    Kampeni za udiwani Manchira - Serengeti: CCM waendeleza mipango michafu

    CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA SERENGETI KWA KUSHIRIKIANA NA UONGOZI WA CCM MKOA NA MAKATIBU WOTE WA CCM WATOKANAO NA ccm MKOA WA MARA baada ya kuonekana kuyumba na kutokubalika vyema kwa wananchi katika kampeni za kugombea udiwani zinazoelekea ukingoni hivi sasa wamepanga yafuatayo 1...
  17. USTAADHI

    WAITARA AKOLEZA MIGOGORO na kuvuruga CHADEMA TARIME, nani kakutuma kwa haya? CCM au?

    Wana JF Najua na naamini kuwa migogoro haijengi na sio mizuri kwenye chama hata familia, Bw Mwita Waitara anapalillia migogoro CDM Tarime, amemtuhumu Heche na Makao makuu kuwa chanzo cha yeye kushidwa tarime 2010, nashangaa kuwa huyu bwana bado anasaka wachawi wa yeye kushidwa uchaguzi huo Je...
  18. USTAADHI

    Vurugu zatawala CHADEMA Tarime

    KATIKA hali ya kuonesha dhamira ya wazi ya kutovumiliana leo majira ya saa 8 katika ofisi ya CHADEMA wilaya ya TARIME kumetokea malumbano kati ya viongozi wa wilaya waliokuwa na kikao cha kawaida cha kujadili maswala ya chama na upande wa ndugu MWITA WAITARA AFISA SERA NA UTAFITI CHADEMA MAKAO...
  19. USTAADHI

    HECHE: Alikuwa DIWANI akiwa chuo SAUT

    Wakuu Mwkt wa vijana taifa BAVICHA alikuwa Diwani wa CHADEMA akiwa mwaka wa pili chuo cha SAUT Pambana kamanda HECHE source, Wall page yake
  20. USTAADHI

    NEMC yaifunga hotel ya 'Double Tree'

    wana JF Kwa habari nilizopa hivi punde ni kuwa baraza la mazingira Tanzania (NEMC) limeifunga Hotel ya Double Tree ya jijini Dar es salaam kwa kosa la kutiririsha maji ya kinyesi BAHARI YA HINDI. >>>>>>>>>Story<<<<<<<<<<< Na Lulu Mussa na Ali Meja Waziri wa Nchi wa Nchi Ofisi ya Makamu wa...
Back
Top Bottom