John Heche: Kwanini Yona hajafukuzwa CHADEMA?

John Heche: Kwanini Yona hajafukuzwa CHADEMA?

USTAADHI

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
1,516
Reaction score
136
NIMEMSIKILIZA SANA leo mwenyekiti wa BAVICHA CHADEMA ,JOHN HECHE akizungumzia maswala ya katiba mpya na msimamo wa chama chake CHADEMA
katika yote nimeshangazwa na yeye kutoonesha kutetereka na kauli za mwenyekiti wa temeke huku akimwita pandikizi kongwe na zoezi la yona kupinga chama chake yeye analiona kama zoezi lilio la kawaida sana ambalo lilianzishwa na wakoloni wakati walipoona vyama vya kiafrika viko ukingoni kuwaondoa katika ardhi ya afrika
"ndugu mtangazaji CHADEMA imekaribia sana kunakostahili kuchukua nchi ndio maana unaona seriakli ya ccm inatumia sana DIVIDE AND RULE hii ni system iliyoanza zamani sana sio leo" mwisho wa kunukuu

huku akisisitiza kuwa yona lazima afukuzwe chama "NASHANGAA KWA NINI HUYU YONA " hajafukuzwa chama hata huko temeke alisisitiza

wakati huohuo akisema UKAWA lilikuwa hitaji la watanzania kwa miaka mingi wataendelea kuliboresha zaidi wazo hilo
 
Nafahamu kuwa alivuliwa zamani uenyekiti wa Temeke akabaki kuwa Mwanachamabaada ya kujiteka mwenyewe halafu akisingizia viongozi wake kipindi Zitto amekimbilia Mahakamani ila tusubiri wenye dhamana waje wanyoonyeshe maelezo!

Mleta hoja,ukimuangalia Yona kwenye Media anazoitwa na maongezi yake unaamini ni kiongozi na anaongea kwa utashi wake au katumwa??!!
 
Afukuzwe asifukuzwe yote sawa tu.Ana madhara gani kwani huyo anayejulikana umbali wa mita 50 toka miguuni mwake?
 
Kwahiyo wana cdm mnakubali yona ni mwanacham wa cdm?
Yona ni mwenyekiti halali wa cdm wilaya ya temeke
 
NIMEMSIKILIZA SANA leo mwenyekiti wa BAVICHA CHADEMA ,JOHN HECHE akizungumzia maswala ya katiba mpya na msimamo wa chama chake CHADEMA
katika yote nimeshangazwa na yeye kutoonesha kutetereka na kauli za mwenyekiti wa temeke huku akimwita pandikizi kongwe na zoezi la yona kupinga chama chake yeye analiona kama zoezi lilio la kawaida sana ambalo lilianzishwa na wakoloni wakati walipoona vyama vya kiafrika viko ukingoni kuwaondoa katika ardhi ya afrika
"ndugu mtangazaji CHADEMA imekaribia sana kunakostahili kuchukua nchi ndio maana unaona seriakli ya ccm inatumia sana DIVIDE AND RULE hii ni system iliyoanza zamani sana sio leo" mwisho wa kunukuu

huku akisisitiza kuwa yona lazima afukuzwe chama "NASHANGAA KWA NINI HUYU YONA " hajafukuzwa chama hata huko temeke alisisitiza

wakati huohuo akisema UKAWA lilikuwa hitaji la watanzania kwa miaka mingi wataendelea kuliboresha zaidi wazo hilo
Huyo siyo mwanachama kitambu tu mkuu, mbululua mmoja hana madhara
 
Huyo siyo mwanachama kitambu tu mkuu, mbululua mmoja hana madhara

Acha umburula ww ni kikao gani kilikaa kikamvuwa uwanachama yona?
Tuliona kikao kiki kaa na kuwavuwa uwanachama mwigamba na kitila
Cha yona kilikaa wapi
Iwe wilaya ao mkowa
 
Huyo siyo mwanachama kitambu tu mkuu, mbululua mmoja hana madhara

Ina maana ni nyoka asiye na meno wala sumu......Unakumbuka hii "aheri simba 40 kuliko nyoka mdogo mwenye sumu"

By the way Heche kaongea vizuri sana leo asubuhi hasa pale aliposema hata wkt wa ukoloni baadhi ya Waafrika, watanzania wenzetu walinunuliwa na kusaliti wenzao, hata hivyo uhuru ulipatikana... BIG UP Heche Uhuru unakaribia.

Watanunuliwa wanachadema wasio waaminifu lakini watashindana na hawatashinda...huu ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa wakati wa mkoloni mweupe, na ss utapatikana toka kwa mkoloni mweusi.
 
na kwa kawaida ukiwa na vijana kama hawa kina heche
lema
sugu
mnyika
mdee
mtoi unawaza nini kama si mafanikio!
 
Back
Top Bottom