Search results

  1. Chilli

    Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

    Nyahega, Wambura, Mahiti, Sentehu, Machambire, Kisigiro, Nyambureti, Mseti, Nyankuma, Mechara nk..
  2. Chilli

    MSAADA: WATAALAMU WA SHERIA ZA USAFIRI WA ANGA NA MIKATABA NISAIDIE.

    Habari ndugu Wasomi wa humu. Naandika nikiwa jimbo mojawapo la nchi ya China. Ninaomba msaada wa kisheria. Nilikata tiketi na kampuni Emirates mwezi wa tisa mwaka huu ya kuja hapa jimbo nilipo na kurudi Dar es salaam (Round Trip). Na katika makubaliano yetu ilikuwa wao kunichukua Dar es salaam...
  3. Chilli

    Chadema msipobadili mbinu mtapotezwa

    Huko kwa ArmedStruggle bado ni mbali sana kwa mazingira haya. Bado Upinzani wanaweza kuwadefeat CCM kwa mbinu safi kabisa zisizohusisha umwagaji damu. Bado wanaweza.TRUST ME!
  4. Chilli

    Chadema msipobadili mbinu mtapotezwa

    Wewe ndio umesema vyema. Huwezi shindana na muhuni kwa kutumia mbinu za kistaarabu, za kioga. Sugu alisema, "Dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake". Na hauwezi cheza mchezo huu ukiwa na watu kama kina Mashinji na Safari. Lazima mbinu na wachezaji wote wabadilike. They are too passive.
  5. Chilli

    Chadema msipobadili mbinu mtapotezwa

    Unataka kuniambia hakuna mbinu mbadala inayoweza kuendana na haya yote?Kwa kuwa mkuu anabana basi na wapinzani nao wakae kimya wakisubiri kifo cha kikondoo, bila kupambana?Ndio maana ninasema CHADEMA na wapinzani kwa ujumla wanahitaji kubadili mbinu sio kulia lia na kulalamika kila kukicha eti...
  6. Chilli

    Chadema msipobadili mbinu mtapotezwa

    Leo tena kaondoka Mtatiro?! Na bado tu wataishia kulalamika.
  7. Chilli

    Chadema msipobadili mbinu mtapotezwa

    Mkuu mbinu hizi sio mpya, lakini kipindi hiki zimefanikiwa kwa kuwa imekutana na upinzani dhaifu, wenye hofu na wasioweza kupambana. Kama una kumbukumbu mambo haya aliyajaribu Ben baada ya uchaguzi mwaka 2000 lakini upinzani mkali toka kwa CUF enzi hizo ngangari ulisababisha anywee baada ya...
  8. Chilli

    Chadema msipobadili mbinu mtapotezwa

    Hizo ndizo gharama za demokrasia mkuu.
  9. Chilli

    Chadema msipobadili mbinu mtapotezwa

    Litapita sawa, je litawaacha salama?
  10. Chilli

    Chadema msipobadili mbinu mtapotezwa

    Nimeona malalmiko ya baadhi ya ndugu zangu wa CHADEMA kuhusu hii hama hama inayoendelea ya madiwani na wabunge. Nimeona ni vizuri nilisemee hili jambo maana kama lisiposemewa CHADEMA itapotea na hilo ni jambo la mwisho ambalo mpenda demokrasia yeyote hapa nchini angependa litokee. Maana halisi...
  11. Chilli

    Rais Magufuli uzinduzi wa magari ungemuachia Waziri wa Afya, si hadhi yako

    Atakayeping na hili ana matatizo. Rais kuna wakati anafanya kazi asizopaswa kufanya. .
  12. Chilli

    Mtatiro: Umefika wakati wa Kardinali Pengo apumzike, uwezo wa kufikiri umepungua

    Hii nchi ina vituko sana, anayemshauri Kadinali Pengo ajiuzulu ni yule yule anayemsifu Lowassa. Hivi nani aliyetuloga?
  13. Chilli

    Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

    Nimerudi bebe wangu, sikubali uteseke teeena!
  14. Chilli

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Kwanza napenda ijulikane kwamba mimi ni Mlutheri, niliyebatizwa, nikapata kipaimara na hata ndoa nikaifungia KKKT. Nimepitia waraka ulioandikwa na maaskofu wangu wa KKKT, nikausoma tena na tena. Kama muumini wao nikaona sasa ni muda muafaka wa kuwaambia ukweli wao kama baba zangu wa kiroho na...
  15. Chilli

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Hiyo technique nzuri. Nitaicopy!
  16. Chilli

    Kwa mwenye maswali kuhusu wanyamapori na hifadhi zetu za tanzania uliza hapa utajibiwa

    Naomba nijue. Kwa nini ukikatiza mbuga nyingine kama Mikumi haulipi gate fees lakini ukipita njia ya Arusha- Musoma unalipia zaidi ya 15,000 kwa mageti ya Ngorongoro (Nabi) na Serengeti (Ikoma).
Back
Top Bottom