Search results

  1. K

    Malalamiko; Afisa elimu msingi Halmashauri ya wilaya ya Siha achunguzwe

    Tunaomba ,afisa elimu msingi Wa Halmashauri ya wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro achunguzwe.tumelalamika vya kutosha na vyombo husika vimemfungia macho muda mrefu.tumechoshwa na vituko na unyanyasaji Wa walimu . Leo siku ni sikukuu ya nane nane ametuandika ujumbe kuwa tuwe kwenye vituo vya kazi...
  2. K

    Mwenye CV ya Rose Sandi, afisaelimu msingi Halmashauri ya Wilaya ya Siha

    Walimu wenzangu ,kichwa cha habari kama kilinavyojieleza.mwenye CV hiyo aiweke hapa.ova
  3. K

    Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Sisi walimu Wa halmashauri ya wilaya ya siha tumechoshwa na vitendo anavyotufanyia afiselimu msingi Wa wilaya yetu.kila Mara ili ufanye kazi maalum au kuhama kituo lazima utoe kituo kidogo.hii imekuwa ni tabia yake miaka yote.posho tunayopewa ya uogozi lazima kila mwezi umatie kidogo vinginevyo...
  4. K

    Trafic polisi eneo la Kifaru na Mwanga Kilimanjaro wanachukua rushwa sana

    Ni jambo la kusikitisha trafic polisi wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro wanasijificha na camera barabarani ukufika mbele unaonyeshwa umezidisha speed.Wachotaka ni rushwa 20.000 wanakuachia. Hivi inakuaje trafic polisi anatumia simu yake kukusanyia pesa barabarani. Kwanini Serikali isiweke...
  5. K

    Mkurugenzi Halmashauri ya Meru amekula posho za walimu wakuu na waratibu elimu kata

    Kwa hali ya kusikitisha mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru amekula posho za walimu wakuu na waratibu elimu kata kuanzia April 2018.kwa hali ilivyo walimu wamekata tamaa na wameamua kuweka mgomo baridi. Jf imejaribu kufuatilia suala hilo ikagundua afisaelimu msingi wa meru ni shida na amezoea...
  6. K

    Afisa elimu taaluma {msingi} Moshi manispaa alipwa fedha na CWT wakati huo mwanachama wa CWT

    Katika hali ya kusikitishwa afisa elimu taaluma elimu msingi Moshi manispaa si amelipwa malipo yasiyofahamika na chama cha walimu Tanzania {CWT}. Mwalimu huyo jina limehifadhiwa amekuwa akilipwa posho mbalimbali na chama hicho ilihali yeye ni mwalimu wa muda mrefu na hakatwi michango na chama...
  7. K

    Baraza la mitihani halijatoa vyeti kwa kidato cha nne mwaka 2016

    Baraza la mitihani NECTA halijatoa vyeti kwa wahitimu waliomaliza kidato cha nne mwaka 2016.kila tukifika kwenye shule zetu tulizofanyia mitihani kuchukua vyeti tunaambiwa baraza hawajatuma. Tunakutana Na vyeti vya waliomaliza nyaka 2015.tatizo ni nini haswa. Baadhi ya shule zinasema baraza...
  8. K

    NECTA Hawajatoa vyeti vya kidato cha nne Kwa waliomaliza mwaka 2016

    Baraza la mitihani NECTA hawajatupatia vyeti vya matokeo vya kidato cha nne kwa wale waliomaliza kidato cha nne mwaka 2016.kila tukifuatilia tunapigwa sound. Wanasema vitatumwa kwenye shule zetu tulizofanyia mitihani. Tukifika tulikofanyia mitihani wanatuambia NECTA hawajavituma. Waliokwenda...
  9. K

    Heritage financing company limited inavyouza mali za watu walioshindwa kurudisha fedha za mikopo

    Jf. Kampuni ya heritage financing company limited iliyoko Arusha mjini inyokopesha mikopo kwa riba ya 100% imeendeleza kilio nchini kwa kuuza nyumba za watanzania bila kufuata taratibu wala sheria za nchi yetu. Kila kona wananchi wanalizwa. Ukifika mahakama yeyote hapa Arusha utakuta kesi zaidi...
Back
Top Bottom