Search results

  1. Sheriff Hood

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Michese Dodoma

    Viwanja vilivyopimwa vipo sokoni Eneo - MICHESE, MTAA WA TANESCO DODOMA Umbali wa km 6 kutoka katikati ya mji, km 2 kutoka barabara kuu ya singida Maji na imeme vipo Bei - Tshs 7,500 kwa Square mita 1 Vilivyopo Sqm 816 - 6,120,000/= 852 - 6,390,000 1211 - 9,082,500 881 - 6,607,500 1169-...
  2. Sheriff Hood

    Naitafuta riwaya ya mkimbizi

    Kama Kuna mtu ana hii riwaya inaitwa Mkimbizi iliandikwa na Hussein Tuwa (Kama sijakosea) naomba anipatie au aiweke hapa. Niliisomaga zamani sana kwenye magazeti pendwa wakati ule yaliyokuwa yanatoka kila week
  3. Sheriff Hood

    House4Sale Nyumba inauzwa Ilanzo Dodoma

    +Vyumba vinne (viwili master) + Plot sqm 500+ + Ilazo Dodoma +Bei 55M (negotiable) + If you're interested karibu DM Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Sheriff Hood

    Msaada wa ushauri na kisheria kuhusu Mafao ya kufukuzwa kazi kutoka PSSSF

    Habari wakuu Samahani naomba wenye idea na huu utaratibu wa PSSSF wanisaidie kunielewesha kama kweli hichi kitu kipo Mimi niliwahi kuajiriwa Serikalini baada ya miaka miwili na nusu ya kudumu kwenye ajira nikafukuzwa kazi, baada ya kufukuzwa kazi nikaanza kufuatilia mafao yangu pspf (ambayo...
  5. Sheriff Hood

    TANGAZO! viwanja vinauzwa Nara Dodoma

    Viwanja hivi vimeshapimwa na vina bikoni vipo Jijini Dodoma, wilaya ya Dodoma mjini kata ya Nara karibu kabisa na barabara ya Mwanza Vina ukubwa kama ifuatavyo 25 x 30 = Tshs 3,500,000 25x56= Tsh 4,000,000 35x75= Tshs 5,000,000 Vipo vingine vyenye ukubwa tofautitofauti (Angalia ramani hapo...
  6. Sheriff Hood

    MSAADA: Wataalamu wa camera naomba elimu kwa ufupi kuhusu camera na photographing

    Wakuu mimi nataka kuanza kupiga picha kwa level ya chini, yaani mpiga picha wa kawaida tu na nina budget ya Tshs 800,000 sasa naomba kujua mambo mbalimbali kuhusu camera na kupiga picha. 1. Kwa budget hiyo nitahitaji camera ya aina gani? 2. Kuna hizi picha zinazotamba sasa hivi mitandaoni za...
Back
Top Bottom