Plot4Sale Viwanja vinauzwa Michese Dodoma

Sheriff Hood

Member
May 3, 2018
82
124
Viwanja vilivyopimwa vipo sokoni

Eneo - MICHESE, MTAA WA TANESCO DODOMA
Umbali wa km 6 kutoka katikati ya mji, km 2 kutoka barabara kuu ya singida
Maji na imeme vipo

Bei - Tshs 7,500 kwa Square mita 1

Vilivyopo
Sqm 816 - 6,120,000/=
852 - 6,390,000
1211 - 9,082,500
881 - 6,607,500
1169- 8,767,500
1407- 10,552,500
1303 - 9,772,500
1200 - 9,000,000
1096 - 8,220,000
997 - 7,477,500

Nicheki pm kwa maulizo

IMG-20220511-WA0031.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom