Ila we Lizzy ni kiboko. Mwabalishe huyo,kuna jamaa aligongewa mke wake huku akishuhudia pasipo kujua nini kinaendelea,mpaka baada ya game kuisha yule mke akamwambia nini kilikuwa kinaendelea pale,jamaa aliapa kutomchunga mkewe.
Pole na hayo majukumu,starehe ni gharama sana. Kwa kukusaidia nipe contacts za ili niweze kuongea naye na kumpanga kisaikolojia,halafu akirudi kwako utaona mabadiliko.
Mimi nimejaribu kujisajili kwa njia hiyo ya *150*03#,nikafika mahala naombwa namba ya kadi ya benki,kila nikiingiza inakataa,kwa hapa ni namba ipi inayoitajika? Tafadhali msaada. In general what are the staps to be followed and what is needed?
Is the service applicable to tigo pesa only? What about m-pesa( voda )?
Otherwise I don't see the problem with the service as long as you will keep your details personal.
Wewe achana na fikra za kijinga hizo,nani kakwambia crdb ni mali ( benki ) ya umma? Kama wewe ni mfanyakazi na unaona ujatendewa haki basi mwaga wino. Upo hapo?
:hat:
Kama yeye awezi kumuacha mume wake ambaye ameshakula chumvi nyingi,vipi wewe ambaye bado wote damu zenu zinachemka? Mpotezee huyo mama hana nia nzuri na ndoa yako,anataka kukualibia kwa Mr wako ili akuache,kwani utakapo enda kukaa naye kule kijijini,atafikisha ripoti mbovu kwa mumeo,kama uhamini...
Mbona upande wa afya hauoji? Ni hospitali ngapi zimejengwa na madhehebu ya dini,na nyingi zaidi na bora ni zile zilizojengwa na kuendeshwa na madhehebu ya kikristu:yawn:
tena kama akija kwako na wewe si mmoja wa hao magamba,vunja vunja ile meno ya sebuleni na kesi mwite kamanda Lisu na Marando watamaliza,zamani marehemu wa kisiasa Lamwai kwake ilikua issue ndogo sana.
Hello to all guys.
Ninajipanga kununua mazao(mpunga) wakati wa msimu wa mavuno kwani bei itakuwa chini,na baada ya miezi kadhaa nitauza,ila sina uzoefu na hii shughuri,msaada wa mawazo kwa yeyote mwenye uzoefu na hii shughuri please!!
jamaa linaweza kupanda dau kubwa mara 2 ya mtaji uliyowekeza lakini linakutaka wewe tajiri hapo vipi? Hebu muogope mungu wa mababu zako,na hata mila na desturi zetu waafrika haziruusu hiyo biashara. Kama unamtaji wa kutosha nenda kwa Kameruni,kwani wewe ni mfuasi wake na utuondolee huo upuuzi hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.