Ununuzi wa mazao wakati wa msimu wa mavuno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ununuzi wa mazao wakati wa msimu wa mavuno

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pungubern, Dec 6, 2011.

 1. P

  Pungubern Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello to all guys.

  Ninajipanga kununua mazao(mpunga) wakati wa msimu wa mavuno kwani bei itakuwa chini,na baada ya miezi kadhaa nitauza,ila sina uzoefu na hii shughuri,msaada wa mawazo kwa yeyote mwenye uzoefu na hii shughuri please!!
   
Loading...