Search results

  1. Mgumu04

    Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

    Kuna mwanangu naye alipigwa hivi hivi nilimshauri asitume pesa kilichomkuta sasa alikula za uso.
  2. Mgumu04

    Nchi ya Uchumi wa Kati US Dollar inakosekana vipi?

    Kwani ni lini tumewahi kufika huo middle class economy?
  3. Mgumu04

    Nina milioni 1, nawaza kufungua biashara kutuma na kutoa pesa. Je, inalipa?

    Mkuu hiyo amount ni ndogo sana at least anza na 3,000,000
  4. Mgumu04

    Mafundi simu (software) pitieni hapa

    Unashida gani Leta maada basi
  5. Mgumu04

    Nahitaji ps3 na ps4 used

    Mkuu nipm mimi ninayo na siifanyii kazi ipo ps3 bei kitonga mkuu
  6. Mgumu04

    Natafuta mpenzi mwenye moyo wake

    Pm imefungwa
  7. Mgumu04

    Tofauti ya Qatar na Taifa Stars ni majina tu uwezo wa mpira ni zero

    Hawa ni zalan FC waliochangamka.
  8. Mgumu04

    Yanga msiende kufanya fujo huko Tunisia!

    Idadi ya wachawi walioenda nayo mbona imefichwa?
  9. Mgumu04

    Kwanini Serikali iko kimya kuhusu utapeli wa Kalynda?

    Serikali ina deal na maswala makubwa na siyo hayo, kwanini hujiulizi wenyewe wanatoa wapi pesa za kukulipa unapoweka hiyo 20000 eti kila siku wanakuingizia 800. Wajinga wengi watapigika sana baada ya kalynda kuna mzigo mwingine unajiita bestie nao umejipanga tena. Kama ni biashara fanya...
  10. Mgumu04

    Ni wapi naweza pata mkopo kwa riba nafuu?

    Hahaha kuna mtu sasa hivi atalizwa hapa.
  11. Mgumu04

    Njia Gani Watu Wanazitumia Ku Hack Password

    Wanalipa kwa pay pal ila kuwa makini unaweza nunua kwa matapeli ukapigwa.
  12. Mgumu04

    Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki

    Uko sehemu gani kuna jamaa yangu ni wakili nitakuunganisha naye hawa maboto siyo wazuri kuna jamaa yangu walimzungusha hivi ila walimwachia.
  13. Mgumu04

    Wazo kubwa la kibiashara 'Entertainment Group'

    Mkuu kibongo vitu vingi vinafeli kutoka na kuweka maslahi binasfi mbele au uvivu. Nakupa mfana mimi huwa nauza mobile phone accessoires kuna dogo mmoja nikamwambia uwe unachukua vitu unatembeza ukiuza faida tunagawana nusu kwa nusu ila sasa ukimuuliza umeuza anakwambia ndio na anakutajia na...
  14. Mgumu04

    Kama Yanga haikualikwa basi ni kweli TFF ina chuki/mgogoro dhidi ya Yanga

    Mbona sisi namungo FC kwenye rank tuko juu sana zaidi ya yanga na hatulalamiki kwa kutokualikwa ?
  15. Mgumu04

    Nataka kununua wifi router ya kusambaza intaneti nyumbani lakini itakaa masaa 6 tu. Je, nikiiwekea power bank itakuwa inakaa muda gani?

    Mimi natumia router ya halotel mchana huwa inakaa na chaji zaidi ya masaa manne ila usiku huwa inatoboa mpaka asubuhi.
  16. Mgumu04

    Namanage Account za Forex

    Kwahiyo unataka umeneja?
  17. Mgumu04

    Share za Vodacom hazijapanda bei tangu ziuzwe kwenye IPO

    kibongo bongo kuwekeza kwa kununua shares za kampuni ni kuzika pesa yako tu.
  18. Mgumu04

    Hakuna tofauti kati ya biashara na ajira

    nyinyi wafanya kazi mnachotuzidi sisi wajasiliamali ni madeni tu.
Back
Top Bottom