Search results

  1. IamJackReacher

    Katika Ukristo, kitendo cha msamaha ni cha lazima, si hiari!

    ni kweli! ila hua watu wengi wanaamini wakiomba msamaha ndio yameisha na watu wataendelea ku entertain uwepo wao au mambo yao kama ilivyokuwa huko nyuma! unaweza kuniomba msamaha na nikakusamehe na safari yetu ikaishia hapo ama ukaribu wetu ndio ukaishia hapo! Heshima ipo pale pale!
  2. IamJackReacher

    My photo album: A unique collection

    humbling! 👍
  3. IamJackReacher

    Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Chati yangu na ChatGPT: IamJackReacher atabasamu IamJackReacher: unaweza kusema nini kuhusu Sadam Hussein, Mohammed Ghaddafi na Vladimir Putin? ChatGPT: Saddam Hussein alikuwa dikteta wa zamani wa Iraqi ambaye alitawala kutoka 1979 hadi kupinduliwa na kutekwa na vikosi vilivyoongozwa na...
  4. IamJackReacher

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

    My take: nimeona na kujifunza mengi katika maisha ila somo kuu ni kutokumuamini mwadamu yeyote anayekuzunguka, iwe ndugu, jamaa ama rafiki (0% - leave the 100% to grade/rate the disappointment)! Ishi kinafiki na kubali kuwa mjinga.
  5. IamJackReacher

    Nimeshangazwa kutowaona wakina Kabudi, Makonda, Hapi Bashiru na wengine huko Chato. Hongera Waziri Bashungwa

    Huenda wanatetea vibarua na wanataka kuishi kwa amani maana walivyosakamwa baada ya Jiwe kupumzika, sio mchezo! Ila heshima ya kipekee kwa Bashungwa! Najua kajifunza mengi mazuri na kakemea mengi mabaya ila heshima ipo pale pale.
  6. IamJackReacher

    Mbunge Sanga atema nyongo Bungeni

    nilijua hili bunge litakuwa la "yes... yes"! kumbe zimo!
  7. IamJackReacher

    Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

    hiyo twit ya Eddo Lalika bana! 😅 nadhani TMZ watakuwa wanaupanga huu mkanda vizuri!
  8. IamJackReacher

    Mkopo wa kujenga uwanja wa ndege Zanzibar ni wa Muungano, mafuta yaliyopo Zanzibar sio ya Muungano

    Huu Muungano nimeutilia mashaka tangu mwanzo wake ila siri kubwa wanaijua waliouwaza muungano huo! Maendeleo ndio sasa hivi Znz inaona! Huko nyuma muungano ulikuwa wimbo tu; mnataka "sister" akistaafu akatulie Znz ile ile mlioizoea, acha nawao wapige hatua maana bara ni wananchi wanapiga hatua...
  9. IamJackReacher

    Kwa watu walio karibu na Joseph Mbilinyi Sugu, wamfikishie ushauri huu wa bure

    😅 ana "exercise" na "kuinjoi" freedom yake kwani alikuwa na hali mbaya sana wakati wa Chuma! acha afurahi, ni haki yake!
  10. IamJackReacher

    Netanyahu ashinda kwa kishindo

    watu wa "system" bana, wakiamua la kwao litakuwa tu!
  11. IamJackReacher

    Mpaka miaka 45 huna vitu hivi jua wewe umekuja kusindikiza wenzio duniani

    😅 Nina ushauri, kwa kuwa tunatizama hili swala katika upeo wa kibinadamu, pointi namba 2 na 4 zitolewe kwani hayo kidogo ni maswala ya Kiroho zaidi, wazo tu! Hayo mengine yanaweza kubaki!
  12. IamJackReacher

    Nadhani kuna tatizo kubwa Serikalini na hao viongozi waliochaguana hawalioni

    Brother Mshana, Ni kweli mambo yanayoendelea ni ya kukatisha tamaa! Hasa kwa yule mwananchi ambaye hafaidi na yeyote aliyeko madarakani katika ngazi zote "sirikalini". Ila, nilichojifunza katika kipindi hiki cha miaka 7 (2015-2022), hii nchi, TANZANIA, ni nchi masikini "THIRD WORLD" pamoja...
  13. IamJackReacher

    Ndoa matatani, mke kuhama bila mumewe kufahamu ni sawa?

    Pole mkuu! kumtuma mtu wa intellegence ni upotevu wa pesa na hivi ilivyongumu, labda kama upo vizuri na haujali, sio mbaya. ila mpaka ifikie hapo, si sawa! alafu kuwa makini na watu wa intelligence, usiwape watu sababu ya kula pilau siku za mbele! mwanamke akishafanya maamuzi si rahisi kumtoa...
  14. IamJackReacher

    Abdul Nondo: Tutaanza kufanyia kazi nyumbani, siyo kwenye jengo la kupanga

    kweli wazungu wanajua kucheza na siasa za kiafrica na demokrasia ikaonekana! sawa, kila la heri!
  15. IamJackReacher

    Waziri wa Kusambaza Mitungi ya Gesi anataka kuwa Rais?

    vijana wa vigogo wa CCM wanadhani huko "mbele" ni business as usual!
  16. IamJackReacher

    Yanahitajika Maombi ya kitaifa kwaajili ya January Makamba na Wizara ya Nishati!

    aliwezaje? maji yalikuwa hayapungui? au wakati wake mvua zilikuwa zinanyesha sana? au alikuwa anataka kuwafurahisha wananchi kiasi ya kwamba bora vifaa husika viharibike na taifa liingie hasara? haya ni maswali machache kati ya maelfu najikuta najiuliza siku hizi kila kukicha tangia siku ile...
  17. IamJackReacher

    Kwanini Mungu alikubali mwanae pekee afe ili tuokolewe na sio kumuua shetani aliye chanzo cha dhambi zote?

    whether ni logical or not, umakini unahitajika sana kwani Mungu over time ameonyesha mengi ambayo kwa mtu wa kawaida na kwa uelewa wake (uwe mdogo/mkubwa) maamuzi yake haya make sense lakini kuna jambo mwishoni la kujifunza! acha niishie hapo nisije kuendelea kikanipata kitu!
Back
Top Bottom