Haya ndo maneno mkuu umeongea point sana sio kuanza kumkosoa mtu kisa ID yake kuna mtu mwenye Real Name humu? Au wewe mkuu unaitwa Nyau kweli ? Nikihitaji kufundishwa ntakucheki PM saizi nagonga tutorials nmezpakua YouTube.
Sent using Jamii Forums mobile app
DOCTYPE html>
ACHA UNANGA
Mwerevu Hukaa kimya, Mpumbavu hupita mbele na kuvimba kichwa. Kama wewe unajua onyesha uwezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi wana JF
Naomba msaada kwa ambae anaweza kuwa na PDF ya vitabu vya kujifunza kutengeneza applications za simu kwa beginners. Nahitaji niwe IT kwa kujisomea mwenyewe, at least now nimejifunza graphics designing na sasahivi napiga kazi vizuri, nmejifunza pia Blogging sasaiv nipo vizuri pia...
okey fine mkuu ntakua nmekosea katka uandish bt generally am not computer engineer ni ID tu ya JF kama ww unavojiita apo, ila nna skills ambzo nazifaham abt computer na hzo language zinazotumika katka web developing kama html, css, php nna uelewa nazo na naendelea kulearn kama unataka battle ya...
am sorry sana mzee naona umefika mbali, all in all tumekutana tuu hum na hunijui nipoje nina elimu gan namm ckujui kabisa. So kausha bas kama unaona nazngua kutumia hilo jina unaweza ukawaambia Mods waniban na pia naomba uwaachie uzi ambao wanaweza kutoa msaada wa mada nilotoa hapo kwa manufaa...
Acha taarab jombaa sijakuuliza jins ya kudownload nmeuliza wapi ntapata setup ya hizo programs zisizohitaji licence keys, watch your tongue kwahiyo nishindwe kujua namna ya kudownload, after all down look me down coz nina knowledge kubwa ya computer kuliko hata hao walizozisomea na kama unashida...
Matangazo hayo kama ni hard copy inahitajika uielewe Adobe photoshop japo pia kuna software zingine lakin hii Ndo inatumika kwan unaweza kufanya chochote ukitakacho ukiwa ndan ya program hii katika editing za picha na matangazo, lakin sasa sio kazi ya siku moja eti ufaham na kudesign matangazo...
wabongo mnajua matumiz ya lugha kuliko team work na kusaidiana so mtu anataka software unaanza kudeal na jina hizo akil matope ndo nyie mtu anazama baharin manpiga picha kwanza, Kwan ww imekuuma nn mm kutumja jina hilo, okey kama hauna software au haina link ya kuzidownload piga kimya, coz mm...
JF tuna uhuru wa Majina yoyote, okey nina BA Special Needs Education, But nina knowledge nilojifunza mwenyew za Blog designing And websites, Graphics designing and online marketing so kama unahitaji service yoyote hapo buree njoo PM
JF tuna uhuru wa Majina yoyote, okey nina BA Special Needs Education, But nina knowledge nilojifunza mwenyew za Blog designing And websites, Graphics designing and online marketing so kama unahitaji service yoyote hapo buree njoo PM
bro huwez jua yote tatzo kuuliza software za adobe for free au vip, maana sion kitu hapo cha kukufanya ushangae, au unataka nitengeneze premiere pro yang?? nonsense
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.