VITABU VYA KUJIFUNZA JINSI YA KUTENGENEZA APPLICATIONS

Mar 26, 2018
76
38
Hi wana JF
Naomba msaada kwa ambae anaweza kuwa na PDF ya vitabu vya kujifunza kutengeneza applications za simu kwa beginners. Nahitaji niwe IT kwa kujisomea mwenyewe, at least now nimejifunza graphics designing na sasahivi napiga kazi vizuri, nmejifunza pia Blogging sasaiv nipo vizuri pia nimeanza kujifunza coding na pia nahtaji nijifunze app development.
 
Mbona ID yako haiendani na ulichoandika?

Anyways, nenda youtube utapa kila kitu. Ni wewe mwenyewe uchague kama unataka kutengeneza app za iOS au android!! ukishapata jibu then chagua language ya kujifunza...kwa android soma kwanza java, kotlin au dart na kwa iOS soma swift!!
 
Nilivyoona jina nikajua anaweka material kumbe ana bango la learner (L) usoni.
 
Mbona ID yako haiendani na ulichoandika?

Anyways, nenda youtube utapa kila kitu. Ni wewe mwenyewe uchague kama unataka kutengeneza app za iOS au android!! ukishapata jibu then chagua language ya kujifunza...kwa android soma kwanza java, kotlin au dart na kwa iOS soma swift!!
Thanks Mkuu kwa ushauri nalifanyia kazi hilo, japo wengi hum jf ID zao sio halisi naomba uelewe hilo
 
Hi wana JF
Naomba msaada kwa ambae anaweza kuwa na PDF ya vitabu vya kujifunza kutengeneza applications za simu kwa beginners. Nahitaji niwe IT kwa kujisomea mwenyewe, at least now nimejifunza graphics designing na sasahivi napiga kazi vizuri, nmejifunza pia Blogging sasaiv nipo vizuri pia nimeanza kujifunza coding na pia nahtaji nijifunze app development.
http://booksdl.org/get.php?md5=40548473c3cb2a5d1088e4893af16b71&key=IALDIW4KQ3Y7LB59

Ukisoma mwanzo mwisho na ukakielewa na kukifanyia kazi basi utakuwa developer, maelekezo code zake ni za java.

Ukipendelea kotlin,Kitabu chake ni hiki hapa.
Kotlin Programming Cookbook: Explore more than 100 recipes that show how to build robust mobile and web applications with Kotlin, Spring Boot, and Android | Aanand Shekhar Roy, Rashi Karanpuria | download
 
Hi wana JF
Naomba msaada kwa ambae anaweza kuwa na PDF ya vitabu vya kujifunza kutengeneza applications za simu kwa beginners. Nahitaji niwe IT kwa kujisomea mwenyewe, at least now nimejifunza graphics designing na sasahivi napiga kazi vizuri, nmejifunza pia Blogging sasaiv nipo vizuri pia nimeanza kujifunza coding na pia nahtaji nijifunze app development.
Samahani kwa kukupeleka nje ya mada

Ni chuo kipi hapa Dar naweza kusoma IT ngazi ya cheti?
 
Kwangu mimi njia nyepesi ya kujua programming ni hii kwanza tafuta hata ka project labda app ya ecommerce au software ya HR ingia online tafuta source code sample utakazo pata ukiwa unafanyia editing utajikuna unaelewa haraka kuliko kuanza kusoma utajikuta unaelewa loops haraka sana maana utaona impact yake live kwenye project yako, kumbuka Ku teck note ya vitu muhimu ili usisahau na ukisoma ivyo vitabu vyako uelewe
 
Back
Top Bottom