Search results

  1. H

    Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Asante mkuu kwa ushauri, kama nilivyosema hapo awali bado naendelea kutuma maombi, KUKATA TAMAA KWANGU NI MWIKO. Nisingelileta hapa JF nisingepata hata huu ushauri wako.
  2. H

    Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Ni kupata internship ili niongeze experience
  3. H

    Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Mkuu nimeishatuma CV kwenye hizo Company na bado naendelea kutuma ila sijibiwi. Na wengine ambao wana connection naona wanapata hata bila kutuma CV, ndipo nikagundua wengi hawaangalii ujuzi ila nani kakupeleka. Ndio maana nikalileta hili swala hapa Jamiiforums ambapo najua kuna watu wanaweza...
  4. H

    Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Shukrani sana Mkuu kwa ushauri wako, nitaanza kuufanyia kazi sasa.
  5. H

    Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Mkuu hivi vitu vinahitaji mtu aliye na experience ya kutosha ili kufanya kazi, akiwa hana experience lazima afanye kazi chini ya usimamizi. Mistake moja ya programming inaweza kuharibu kiwanda kizima na kuua watu. Si vitu vya kubahatisha. Kuhusu project, nilishafanya project nyingi na nyingine...
  6. H

    Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Kwangu Mimi ili niweze kujiajiri nahitaji mambo makuu matatu. 1. Practical experience ya hicho nachotaka kufanya. Mimi ni bado ni Graduate sina hiyo practical experience. 2. Capital. Hii inajieleza sana. 3. Connection za kazi. Hii huwa inakuja automatic baada ya watu kukuamini kwamba unaweza...
  7. H

    Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Tayari mkuu nimeishakuja inbox.
  8. H

    Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Asante kaka, naapply hivyo hivyo.
  9. H

    Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Asante mkuu kwa ushauri.
  10. H

    Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Hakuna kitu kinachoshindikana mkuu.
  11. H

    Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Habari, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimemaliza Chuo mwaka 2020 , natafuta sehemu ya kufanya interniship ili niweze kupata uzoefu katika fani yangu. Nina ufaulu mzuri wa masomo yangu ya engineering (Nina upper second class GPA) na nina ufahamu wa juu kuhusu:- 1. PLC programming...
  12. H

    Bado natafuta kazi ya ualimu

    Mimi ni kijana Mtanzania ninayeishi katika jiji la Dar es salaam, bado natafuta kazi ya kufundissha masomo ya PHYSICS na MATHEMATICS kwa level zote (form one mpaka form six). Mwenye uhitaji wa mwalimu wa masomo hayo au anajua sehemu ambayo wanaitaji naomba anisaidie kunipa taarifa. Natanguliza...
  13. H

    Natafuta kazi ya ualimu kwa masomo ya Physics na Mathematics

    Habari zenu wakuu. Natafuta kazi ya kufundisha Physics na Mathematics kuanzia form one mpaka form six, nipo Dar es salam namba zangu ni 0714953350.
Back
Top Bottom